Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

USIFANANISHE USTAARABU WA KIKRISTO NA DINI YA MAPEPO.


Quran 2:97

Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur’ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.”
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799


Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....


Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Mazishi kwenu wakristo kwa kweli ni kinyaa. Mtu akija kuhudhuria huwa anajaribu kunusa nusa hewani akihofia harufu mbaya.Na wakati mwengine huyo aliyeondoka mbali na kuwaachia familia madeni huondoka na kundi la watu kama ilivyokuwa kwa Magufuli.
 
Naona wafia dini hapo juu wananiattack sana, naomba nitoe kauli yangu.

1.Hakuna sehemu niliyosema kuwa uislam uendeshwe kwa matakwa yangu

2. Hakuna nilipodeclare kwamba mimi ni msomi.

3. Hakuna mahali nilipozuia wafu kuzikwa haraka.

Ila nilitoa maoni yangu kulingana na Uislam na utamaduni wa Kiarabu kwamba hili jambo la kuwahisha kuzika nadhani ni kutokana na ukosefu wa teknolojia wakati huo kama mawasiliano, uhifadhi wa maiti na pia uchukuzi, ndio maana ikashauriwa kuwa maiti azikwe haraka, nimeandika neno imeshauriwa kwa sababu hakuna sehemu iliyoweka amri katika jambo hili.

Kuhusu uharaka wa kuzika hiyo ni perceptions za watu, kwa mfano mimi naweza kusema kuzika haraka ni ndani ya masaa mawili baada ya mtu kufa, mwingine akasema kuzika haraka ni baada ya masaa 24 ndugu wakishafika, mwingine anawesa kusema watoto wa marehemu wapo Marekani wanataka kushiriki ibada ya mazishi hivyo tutasubiri kwa siku tatu ili wafike, hiyo pia ni haraka kwa sababu hakuna maiti inayowekwa tu ndani halafu watu wakae nayo bila sababu.


Hayo yalikuwa ni maoni yangu, ssa tuje kwenu wafua dini mnijibu maswali haya mawili.

1. Tafsiri ya neno haraka nyinyi ni muda gani?
2. Mtume (S.a.w) alipofariki hakuzikwa siku hiyo hiyo, nini kilifanya wacheleweshe kuzika na je hapo hakukuwa na ulazima wa kufuata hiyo haraka mnayoipigia kelele.


NB:
Raha ya dini uamini kwa tafakuri sio kukaririshwa bila kufanya reasoning.
Kuna Uislam na kuna utamaduni wa kiarabu.
Huu uzi umejaa vijana wa hovyo ambao hawatakuelewa. Na hawana hoja, wanakupinga tu
 
Asili ya kukimbilia kuzika haraka siku hiyohiyo ulitoka ktk jamii za kimasikini... Kutokana na kushindwa kuhimili malipo ya kuhifadhi maiti wakashauriwa mtu akifa akazikwe haraka.Jamii haikupenda kuzika haraka ndipo dini ikatumika kushawishi kuzika haraka na jamii husika ikatii dini...

Kabla ya hizi dini binadam alikua anahifadhiwa wiki hadi mwezi bila kuzikwa, na hiyo process ya kuhifadhi maiti iliitwa MUMMIFICATION...
Achana na utamaduni nazungumzia kwa mstakabali wa kidini ambao ndo msingi wa jamii nyingi za duniani kwa sasa ..!! Mtu akifa almost ni hasara onward , mwili wake kuendelea kubaki miongoni mwa walio hai ni double loss, ni mzoga huo , kumbukumbu lake limepotea na limefutika , kilichopo ni kuhifadhi mwili mapema iwezekanavyo watu waliopo hai waendelee na mambo mengine , Dini zote zinazodai kumwabudu Mungu wa Mbinguni zinasisitiza hvyo, hata hvyo kwa sasa mazishi ni biashara za watu fulan si ajabu mlolongo ukawa mrefu kujipatia kipato
 
Hata ndugu zako wakifariki miili yao iite mizoga. Kyumer wewe
Mtu yeyote akisha kufa haijalishi ni nani au anacheo gani huo ni mzoga na hana faida yeyote ndani ya dunia.
 
Sipingi usemalo isipokuwa kwa Yesu, ni vyema tukitambua huyo mtu inasemekana alipigwa sana hivo alikuwa na wounds kwa wakati ule angeharibika siku hiyo hiyo hata sasa mtu wa aina hiyo ni almost impossible kumtunza

lakini sijasema maiti zizikwe haraka au
Yaani Yesu alipigwa namna hiyo.Inasikitisha sana.
 
Kwaanza Maamuma sio tusi, rejea hata kwenye kamusi za kawaida tu utaona, kuhusu kuitafuta Elimu nako kuna miongozo kwa kuwa hata uchawi, wizi navyo ni Elimu na inatafutwa.
Hili la bidaa ni ukosefu tu reasoning kwa wanaotumia mfano wako wa simu na ukiona mtu anatumia mfano huo usipate tabu kujiuliza kuhusu elimu yake, huyo ni katika watu wanahitaji kuelimishwa tu. Bidaa zina milango yake na ukipata muda jifunze acha kutetea hoja zako kwa fikra ndogo kiasi hicho.
Pointless. Ndo umeongea nini sasa? Huna tofauti na sheikh Kabeke
 
Kwahiyo hadi leo hiyo teknolojia haipo ya kuhifadhi mwili? Vp wanaitumia? Sheria za uislam kwenye Mazishi ziko vile vile wewe usitumie utashi wako.

Mbona hujataka kubadili mtindo wa kuswali?

Huna akili
Nimecheka hapo mtindo wa kuswali
 
Ndio maana nimeweka hapo kuwa ni maoni yangu binafsi na sio msimamo wa uislam, mimi sio mfuata kila linalosemwa kwa sababu natambua uislam asili yake sio huku kwetu na pia ni karne nyingi zimepita lazima mabadiliko yawepo.

Maelekezo ni kuwa mtu akifa inatakiwa azikwe haraka wakati huo, now lazima nifanye reasoning kwa nini ilisemwa hivi, nagundua ala kumbe wakati huo hakukua na teknolojia kubwa katika uhifadhi wa maiti, mawasiliano, uchukuzi n.k. Lakini uzuri zaidi imesisitizwa tu kuwa mazishi yafanyike haraka, hakuna palipotajwa kuwa yafanyike haraka kwa kiasi gani kwa hiyo kwako wewe masaa mawili unaweza kutafsiri kwamba ni haraka, yule akatafsiri haraka ni masaa sita na mimi nikasema haraka ni siku tatu, hakuna tatizo hapo.

Mimi sio kama wewe unafuata lolote bila kufanya reasoning, chochote kikitamkwa ni lazima kina sababu nyuma yake.
Hapana, hakuna philosophy katika uislamu. Ndugu haupo sahihi
 
Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.

Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.

Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.

Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Kwanza si kweli kuwa wewe ni muislamu kwani huna ufahamu kabisa wa vyanzo vya amri ya mazishi.Hukutaja wapi ipo kwenye Qur'an.Kote kote ni kuharakisha mazishi.. Kuhudhuria mazishi ni ibada lakini inaitwa fardh kifaya. kwamba ni lazima ifanyike isipofanyika ni dhambi kubwa kwa walio hai lakini si lazima kila mmoja ahudhurie.Ukiwa karibu utafaidika lakini hakuna kusubiriana.
 
Akili yako haina akili

Islam ni dini iliyotokea uarabuni na mataifa meng ya uarabuni yanajoto kali sana na kwa kipind icho kulikua akuna njia za kuifadhi maita kwaiyo wakawa wanazika sku iyo iyo mtu akifa kuepuka kuharibika kwa maana iyo utamaduni uwo ulihamia ad kenye dini yao ya islam

Ni sawa sawa na kanzu kanzu ni vazi la waarabu sio vazi la kiislam ila warabu walivaa kanzu sababu ya joto ila utamaduni uwo ukaretwa ad kwenye dini ya islam

Ata pia rope kle kitambaa cha draft ni kwaajiri ya kuzia joto kule jangwani ila baadae waislam walilifanya kua vazi lao pia
Dini za islam na christian ni tamaduni za waarabu na wazungu
Tuache kufananisha tusali ili tujisogeze karibu na Mungu wetu bas mambo ya kufananisha au kuponda dini nyingne ni ujinga na upoyoyo
 
Mkuu kwa mujibu wa uislam mtu anapokata roho huwa anapata maumivu makali sana, na Yale maumivu hayakomi mpaka azikwe
Nadhani hii ni sababu kuu mtume wetu akatuasa swala hili liwe miongoni mwa Mambo ya haraka zaidi
Halafu bado Mtume akaachwa apate hayo maumivu kwa taktiban siku mbili?
 
Biblia ya wapi? Leta andiko
Kwan unakuwa umelazimishwa kuhudhuria msiba?

Hakini dini ya kinafiki kama hiyo unayoisifia

Hawa ndo wanaongoza kwa uzinzi na uasherati na ndio makundi mengi ya kigaid ni wao
Na inayokana na msingi wa imani yao

Dini zote zina changamoto ila katika eneo hilo waislamu unyama mwingi sana , umeomba andiko nami nakupa andiko, katika agano jipya Yesu alipokufa walizika onspot, katika agano la kale neno linasema

Hesabu 20:1
Kisha wana wa Israeli, mkutano wote, wakaingia bara ya Sini, katika mwezi wa kwanza, watu wakakaa Kadeshi; Miriamu akafa huko, akazikwa huko.

Miriamu hakuwa mtu mdogo miongoni mwa taifa , ila alizikwa faster as possible no wastage of time
 
Adhabu kwa waislamu waliocheleweshwa kuzikwa ni ipi katika uislamu.
 
Adhabu kwa waislamu waliocheleweshwa kuzikwa ni ipi katika uislamu.
Hakuna adhabu na hakuna aliyekatazwa kuweka maiti mochwari ila ni Sunnah kuzika mapema

Na Sunnah pia kuzikwa kwenu ulikozaliwa (ntasahihishwa Kwa wenye kujua)ila hapo hapo Mungu ndo anajua ardhi ya utakayozikwa
Jambo likiwa Sunnah ukifanya unapata thawabu ukiliacha hupati dhambi
 
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,

View attachment 2585799


Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:

Mtu anafariki , anahifadhiwa mochwari sku nzima, kesho yake anahifadhiwa tena , sku inayofata watu wanajikusanya , sku inayofata anafanyiwa ibada fupi kanisa la nyumbani na anaagwa , sku inayofata anasafrishwa kwenda kwao , sku inayofata anafikishwa kwao, zinapita sku mbili akisubiriwa mwanae kwani yupo ulaya, baada ya hzo sku mbili sku inayofata inafanyika ibada fupi ( syo fupi kama unavyofkri) anaagwa , na kama makaburi yapo karbu basi huzikwa... Na kama yapo mbali husafrishwa na sku inayofuata huzikwaa... Too long

Watu washalia vya kutosha , watu wamesimamisha shughuli zao zaidi ya wiki wanazurura tuu, gharama zimeongezeka mara dufu mana watu wamekusanyika nyumbani kwake na kule anakozikwa pote lazima wahudumiwe, madaftari ya michango ya uongo na kweli kila kona na watu washapita na rambi rambi , mwisho wa sku familia kuachiwa mzigo wamadeni

Tashrifu hakuwa mtu mdogo ila mazishi yake yamezingatiwa kwa uharaka zaid....


Wakristo tuendelee kuchukua notisi
Inategemea na situation, kama aliugua kwa muda mfefu inaleta mantiki.
Kuna jamaa yangu aliondoka asubuhi zanzibar kuja kufunga mzigo dar , mchana mkewe akapata ajali ya boda na kufariki papo hapo jamaa akageuza kafika jioni na kuonyeshwa kaburi la mkewe .
 
Twende kwa fact, kwann usibadili utaratibu wa Swala kama unapenda kwenda na teknolojia? Yaan kwann usianzishe basi swala 8 au swala 3 ili kuendana na teknolojia?
Swali la kijinga kabisa.
Teknolojia imefanya adhana zifanyike kwa kutumia vyombo vya kisasa vya kupazia sauti. Before then unajua waarabu walikua wanatumia nini? Penda kuhusisha ubongo wako kwenye kuandika
 
Wewe sio Muislam, hakuna muislam mwehu, anayeweza kujipangia vitu kijinga na reasoning capacity ndogo kama yako.
Oneni hili arabu koko linatukana watu kisa wanetofautiana maoni. Wewe ndo sio muislam. Waislam huwa ni waungwana sio mbumbumbu kama wewe. Ptuuuu mate usoni
 
Back
Top Bottom