Mzee tunayemheshimu karopoka matusi mazito kisa mwanae anataka kuoa mwanamke mwenye mtoto

Kwa hiyo janja unataka ulee bao la mwanaume mwingine?

Mwenzako katomba weee hadi kamtia mimba kamzalisha ila kaona malaya hafai kuwa mke

Ila wewe unajiona una busara kumzidi unataka uumfanye kuwa mke?

Huyo malaya angekuwa sio single mom wala asingekukubali anatafuta tu boya kama wewe wa kumlea mtoto wa ex wake

Hakuna wanaume wanadharauliwa na single mom kama wanaokubali kuwaoa na kuwasaidia jukumu la kulea watoto/mtoto

Single mom ni wa kupiga hit and run

A man should start his own family, not join another man's family
 
Kwenye nyuzi kama hizi huwa sioni single maza wakijitetea. Kwishaaaa?!!!
 
Kuna mambo huwa nikikumbuka mzee wangu mlezi alipopingana juu ya maamuzi yangu juu ya nani wa kuoa najisemea moyoni "Alikuwa sahihi ". 15 years kwenye ndoa na sijaoa single mother ila kuna vitu sasa nimeona uhalisia wake.

Nyani mzee amekwepa mishale mingi,ameona matukio mengi ya ajabu, ameshiriki kufanya matukio mengi ya kuumiza watu na huenda hata ana mahusiano bado na mwanamke alimzalisha na yuķo kwenye ndoa na mtu mwingine.


Sisemi hawapo single mother ambao wakiolewa hawana mambo ya ajabu. Baba ake anampenda sana
 
Huyo kijana ni wa hovyo kabisa, miaka 28 unaenda kuoa mwanamke ambaye ana mtoto na mwanaume mwingine. Mzee yuko sahihi kabisa kukasirika, anauzoefu anaona kitu ambacho kijana hakioni. Hakuna kujiandaa kisaikolojia kwa matukio ya kijinga, yaani uzae toto la kiume ambalo unauhakika liko fiti kiakili na kimwili halafu ulione linakuletea mkwe mwenye mtoto halafu ulikenulie meno useme dunia imebadilika huo ni utahira. Kijana wako kuoa mwanamke mwenye mtoto ni lazima kama mwanaume lijari upate simanzi na kukasirika.
 
Moja kati ya mistakes vijana wa leo wanafanya ni kuamini wana akili kuliko wazee wao. Siku hubadilika ila mambo ni yale yale; hakuna jipya chini ya jua.
 
Mtoa mada acha kuharibu mtoto wa watu kwa kujiona unabusara, acha kuchukua nafasi ya baba kwenye maisha ya watu, wamekukaribisha kama jirani mwema kwenye maisha yao chunga mpaka yako

Hilo unalosisitiza si kwamba tu katiba ya wanaume imekataza, bali mzee ameunganika na kijana wake genetically anajua udhaifu wao hasa kwenye changamoto hizo kwa mifano mingi na kuishi kwingi

Huwezi jua anamuepusha na nini.!

Na wewe kwa kuona taarifa kama hii imeweza kumpagawisha mzee kwanini kichwa chako kisiwake taa kwamba unadeal na watu wenye ghadhabu za ghafla.!

Siku Iyo takataka yako ikipigwa tukio uje kutoa mrejesho hapa tupime mizani kati ya mzee wake na wewe unayelalamika hapa nani ana busara
 
Saikolojia inatuambia na wewe umeoa mwanamke uliye mkuta na mtoto.
BTW, Waoeni tu hao wanyama, Sasa wataolewa na nani?
 
Kama kawaida wadau wa jf wanagawa hofu kama kawaida yao,ukiwasikiliza kwa asimia Mia utafeli

Iko hivi pamoja na historia kuonyesha kwamba asilimia kubwa ya wanawake walizalishwa na wanaume wao huendelea na mahusiano kwa kupitia mtoto,lakini sio ndio iko hivyo kwa wanawake wote.

Kuna baadhi wanajitambua na hawako tayar kupoteza nafasi waliyoipata,kikubwa Pata taarifa nzur toka kwa huyo mwanamke,ujue historia yake na huyo baba mtoto na ilikuwaje wakaachana

Angalia kichwa ya huyo mwanamke je iko sawa,kwa maana anajitambua,ana uelewa wa maisha na factor nyingine pia,je wewe muoaji huwa unataka nini kwa mwanamke unayataka kumuoa,je just sex tu au mtu ambaye atabeba maono mapana ya familia yako,kama unataka mwanamke ambaye mtajenga taasisi bora ya ndoa na ana vigezo vyote hata kama ni single maza just take her na muyaanze maisha
 


Warembo gani unaowazungumzia?? Hawa hawa wasio na akili wanaoamini kuwa thamani yao ipi kwenye matako?

Hawa hawa waliojaa viburi?

Hawa hawa wanaoamini kwenye 50/50?

Hawa hawa wanaoamini kuwa wakiolewa inatakiwa mume awe anawasaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani, na asipofanya hivyo anapost kwenye sosho midia wakianza na "Hide my id"

Hawa hawa wanaoolewa wakilenga kugawana mali??

Au unawazungumzia warembo wengine?
 


Nakuballiana na wewe mkuu.

Kuna wanawake wana akili na tabia nzuri kabisa lakini bahati mbaya unakuta walikutana na mwanaume asie na akili, na unakuta tayari ameshamzalisha
 
Hamna kutu inauma kama kuzaa mtoto bogus ndo maanza mzee kachanganyikiwa
 
Jamani mbona wanaume kama wewe wachache kwenye hili jukwaa? Yani sijui huwa wanaishi visiwa gani wanashindwa kutambua mambo madogo kama haya!

Hongera mkuu🤝🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…