Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Mzee baba jifunze kufanya muxing yani kuiingiza substitle ndani ya movie kabisa.

Unafahamu au nkupe ka-tuition kdogo?
mkuu tupe hiyo tuition basi ni muhimu sana mkuu tunasubiri.mana inatusaidia sana kwa ambao sio english speakers
 
Ooh kama movies haina subtitle ndio vlc inaandika no history au mm ndio sielewi?
Mkuu, movie gani ambayo umekosa substitle? ... umejaribu kudownload manually yani ukaingia google (subscene.com) ukaikosa?
 
nipe tution mkuu ntashukuru
SteveMollel
Twende mdogomdogo... ukiwa unatumia PC, Search "MKV tool nix"


Baada ya hapo itakuja hivi ambapo utabonyeza hilo chaguo la kwanza la fosshub..

Ndani utakuta software hiyo ikiwa na machaguzi mbalimbali kutokana na mashine yako (32-bit ama 64-bit). Utabonyeza hapo na utaipakua kiurahisi tu.


Ukishaipakua na ku-install zitaonekana icons mbili (mkvmerge GUI na MKVToolNix GUI) utaopen mkvmerge GUI na itakuja hivi ...



Utabonyeza add, ambapo hapo utachagua movie yako kokote ilipo kwenye pc kisha uta-add tena na substitles zake ambazo utakuwa ulishazidownload (ni vema ukawa tayari umeshaweka movie yako na substitle yake kwenye file moja ili iwe rahisi kuzi-access).

Baada ya hapo unapress "Start muxing" (utaiona chini kabisa) kazi itafanyika na movie yako iliyo na subs ndani utaiona katika file lilelile la movie.

Done.
 
thanks mkuu
Kama unatumia simu process ni hizo hizo?
 
Vitu vipya nimeviona mkuu, bt nashangaa nikidownload muvi ikimaliza naletewa message ya your storage is fully hapo sijaihamisha hyo muvi kuja kwenye gallary inakuwaje hii,
 
Nimegundua hili tatizo ni kutokana na low storage space ya cm kwa sasa inadownload ikifika mb 300 inakata inaanza upyaa. Chek vzr mkuu lazima kuna space inahitajika kwenye cm ili kuweza kusaidia kuhifadhi muvi zinazopakuliwa toka telegram ata kama usipoihamisha to gallary
 
Yaan nimetafuta line ya halotel iko spid balaa, sema sasa imeshuka movie moja tu ya 1000mb nyingine zote nikijaribu zinakaseli njian, na sim inaleta ile mesej ya memory full kiasi kwamba ata meseji haziingii, imenibidi ni unistall tu telegram na mambo yakakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…