SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #221
Mkuu, hilo sio kwa Telegram tu, ni obvious ili kila app ifanye kazi kuna kiasi cha space lazima kiwapo kwa simu. Ila sio kwa kiasi hiko cha kuhamishia movies kwa galleryNimegundua hili tatizo ni kutokana na low storage space ya cm kwa sasa inadownload ikifika mb 300 inakata inaanza upyaa. Chek vzr mkuu lazima kuna space inahitajika kwenye cm ili kuweza kusaidia kuhifadhi muvi zinazopakuliwa toka telegram ata kama usipoihamisha to gallary
Karibu.Aisee
Clean cache ya telegram yako tafadhaliYaan nimetafuta line ya halotel iko spid balaa, sema sasa imeshuka movie moja tu ya 1000mb nyingine zote nikijaribu zinakaseli njian, na sim inaleta ile mesej ya memory full kiasi kwamba ata meseji haziingii, imenibidi ni unistall tu telegram na mambo yakakaa sawa.
Nashukuru mzee baba kwa mrejesho wako.Mkuu movie zako zingine kule telegram kuna baadhi nyingine usimulii zingine unasimulia, unajua mfano kama mimi ukishasimulia najua hii movie ni kali au siyo kali kwangu lakini sijui! Mfano kama Along with the Gods ile ya jamaa ni zimamoto alikufa, sasa ile nimependa story yake nitaipakua! Ila kuna moja hivi ya 1BR ya yule mwanadada aliepanga chumba ata sijaielewa mkuu! Lakini samahani mi napenda uwe unasimulia kidogo harafu unaachia katikati mtu atajua tu hii movie nimependa au sijaipenda story yake,
Kingine mkuu kule YouTube channel yako sijui ni kwangu tu naona kuna movie tatu ambazo ndo umesimulia sasa sijui nakosea wapi! Yote kwa yote natanguliza shukrani zangu za dhati, Ni maoni yangu tu[emoji123]
Tazama na 12 strong. Hunter Killer. Real Steel.Okey shukrani! Nimetoka kupakua movie ya the hunt asee bonge mmoja ya movie mara ya kwanza alieanza kuamka ndo staa wa movie [emoji44]eeh naona kapigwa risasi haloo kumbe yani star mwanzoni humjui[emoji1751][emoji86]
hii wolf warrior no 2 ndio kali zaidi aisee- WOLF WARRIOR (2017)
- CALL OF HEROES (2016)
- 12 STRONG (2018)
- OPERATION MEKONG (2016)
Mkuu kwa tunaotumia simu kudownload movie kisha tunazihamishia kwenye flash kupitia laptop then tunaziangalia kwenye tv kwa kuchomeka kwenye dvd sisi tunafanyaje ili subtitttle ikae pale mpaka kwenye tv ?Tazama na 12 strong. Hunter Killer. Real Steel.
Mkuu kwa tunaotumia simu kudownload movie kisha tunazihamishia kwenye flash kupitia laptop then tunaziangalia kwenye tv kwa kuchomeka kwenye dvd sisi tunafanyaje ili subtitttle ikae pale mpaka kwenye tv ?Tazama na 12 strong. Hunter Killer. Real Steel.
Mkuu maelezo yanasomeka kabisa kuwa ni deki,ama dvd wewe sijui mambo ya flat screen umeelewea wapiUnachomeka kwenye flat screen. Ama
Aisee mbona nikisearch siipati?, naambiwa no result found..Nimeshaeleza huko juu. Hii channel ni public sio private so ukisearch tu unaipata. Ingia Telegram kisha bonyeza alama ya kusearch juu kuume kisha andika Movies na stories utatupata.
Kwa series napo search Chumba cha series utatuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si nikaweka link hapo juu ndugu.Aisee mbona nikisearch siipati?, naambiwa no result found..
Movies Na StoriesAisee mbona nikisearch siipati?, naambiwa no result found..
Asante sana...got it
Huku kwa thread ama Telegram mzee?Mkuu mwendelezo vipi lakini wa movies maana naona akiba yangu inaisha?