Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

Vyote vinawezekana. Ukishadownload unaweza fanya hivyo pasi na data tena mzee wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiwasi wangu ulikua naweza download hizo movies halafu shida ikaja siku nikapoteza hiyo device nikatakiwa kuzi download tena. Ila kama hakuna shida hata ukiipoteza simu siku ukipata simu nyingine movies zako unazipata bila kutumia bundle lingine kuzi download mbona fresh tu
 
Fanya hivyo mzee baba. Mbona chap tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema hawa wajinga wanaweza kupunguza kisiwe cha unlimited, maana hapo mwanzo kilikua ni buku ila users walivyokua wengi wakavimba vichwa wakaongeza jero on top
Ila mzee sio mbaya. Nilikuwa natumia ya TTCL lakini ni kobe. Nilikuwa nadownload movies 2 tu usiku mzima. Huwezi fananisha na mzigo wa Halotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa movie ya 13 sins hiyo Ni aina ya movie ninazopenda,hiyo ndio itakuwa movie ya kwanza kudownload.Mzee nimekutumia dm ujumbe wangu usome.
 
Nimependa movie ya 13 sins hiyo Ni aina ya movie ninazopenda,hiyo ndio itakuwa movie ya kwanza kudownload.Mzee nimekutumia dm ujumbe wangu usome.
Hiyo movie nimei download jana nilikua nasubiria usiku uingie ndio nianze kuicheki
 
Mzee Inno, horror zitakuua [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwasababu ni horror la hasha ila storyline yake Ni nzuri na inavutia Kama ya truth or dare mbona The platform nimeikubali wakati si ya horror.Me napenda movie zenye storyline nzuri haijalishi Ni ya horror au genre nyingine yoyote.
 
Hapana ebu nipatie link mzee ili nikacheck huko najua vitu vyako huwa ni makini sana huwezi amini movie zako zote uwa naandika kwenye daftari harafu natafuta moja baada ya nyingine!
Nashukuru sana boss. Unanitia hamasa kwakweli.

Channel ni mpya so kuna videos mbili.


Na


Subscribe kabisa usipitwe na zingine. Lakini pia njoo na Telegram (kama hauna pakua ipo playstore), jisajili na search "Movies na stories" utaona channel, zama ndani. Na kuhusu series pia search "Chumba cha series", utaniona.

Ni free.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…