Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye show hapa bongo hamna wakumfikia Sholo mwamba narudia tena hakunaaa
tujaribu kotofautisha mwenye hit song na anae amsha jukwaan
narudia tena hakuna wakumfikia sholo mwamba jukwaan
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee wewe unazungumzia hit songSholo mwamba tulia kwanza[emoji23] zama za sholo zimepita alitamba kipindi kama "una ghetto onyesha funguo"
kwa sasa mkubali mkatae mzee wa bwax hana mpinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna show ya diamond alifanya beach nadhani ilikuwa 2017 Christmas season walkiwa na wcb wote pamoja na sholo mwamba jamaa alopiga show masaa 2 na alisepa na kijiji mpk mond mwenyew alikalishwa vibaya ngoja niitafte nkutagNitag show za sholo Mwamba nithibitishe.maana ninavyofahamu mkali ni bwax hahitaji nguvu nyingi kuleta vibe.
Sent using Jamii Forums mobile app
" SM shika ukuta funua dera kama vipi tuone paja"kuna show ya diamond alifanya beach nadhani ilikuwa 2017 Christmas season walkiwa na wcb wote pamoja na sholo mwamba jamaa alopiga show masaa 2 na alisepa na kijiji mpk mond mwenyew alikalishwa vibaya ngoja niitafte nkutag
last year alienda na kiba tabora jamaa alifunika mbaya yaani wanyamwezi walipigishwa kwata ni balaa ilinyesha mvua lakini lilitimka vumbi uwanjan[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Singeli haina hit! Wao akisema "wahuniiii" atarudia zaidi ya mara 100 [emoji3][emoji3][emoji38][emoji3] kikipigwa ki beat kwa nyuma lazima uchezeAna nyimbo ngapi huyo Mzee wa Bwax?
Naona ni upepo wake tu na hyo nyimbo yake mpya vinambeba ila show ndefu hataweza coz hana hit nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sholo mwamba tulia kwanza[emoji23] zama za sholo zimepita alitamba kipindi kama "una ghetto onyesha funguo"
kwa sasa mkubali mkatae mzee wa bwax hana mpinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Bwax hata Makabila hamfikii, hapo bado Mczo Mo fan hujamtaja.
Nini maana hit?
Sema shalo mwamba kadumu sana kwenye gemu mkuu pasipo kushuka ukilinganisha na wengine.asa mambo ya 2017 si ndio hayo nna getho langu onyesha funguo..[emoji3]hata mimi nilikua naipenda hio ngoma
Mkuu haya kaangalie wasafi festival ya 2019 nani kama Bwax" SM shika ukuta funua dera kama vipi tuone paja"
mkuu hakuna kama bwax kwenye Vibe kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app