Mzee wa Bwax ni msanii namba moja wa Singeli nchini. Msanii gani wa Bongo fleva wa kupambana naye jukwaani?

Mzee wa Bwax ni msanii namba moja wa Singeli nchini. Msanii gani wa Bongo fleva wa kupambana naye jukwaani?

Sema shalo mwamba kadumu sana kwenye gemu mkuu pasipo kushuka ukilinganisha na wengine.

Ngoja tumuangalie na huyu dogo bwax
Kama itakuwa ivyo. Japo kwa sasa kama unavyosema hakuna kama yeye.
kajitahidi
manfongo ndo hajadumu sana
kumaintain Ufalme wa muziki kugumu sana... ndio maana unaona Mzee wa bwax kabla haijapoa anaachia ingine.
napenda singeli wanajua kuachiana pia wana ushirikiano. Bongo fleva mabeef kibao, mateam, akishika usukani fulani ameshika.
kwenye singeli hio haipo Hit inakuweka juu, pia mashabiki hawajajengewa ubaguzi, akipanda sholo, manfongo,dula ,bwax mashabiki wanaona sawa tu wote wetu ...i like that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta clip za sholo mwamba uje kuleta mrejesho jamaa japo atoi hit ila kwenye jukwaa nuksi hakuna wa kumfikia mpka wenzake wanajua hh
 
Aah mkuu sio kweli.
Hatusemi kwamba sio wakali mkuu wote hao sisi shabiki zao lakini;
Dula makabila zama zake pia zimepita ... Weka "Bia zangu umekumywa pamoja na Viroba tupa kule skuizi mwendo wa safari" uone ipi itanyanyua watu.
Mkuu hata ukiwachanganya Manfongo,Sholo mwamba, dula makabila na huyo dogo alokufa juzi bado kwa sasa hivi hawamfikii mzee wa bwax. 2018-2020 zama za Bwax mkuu
manfongo kampa kijiti sholo,sholo alimpa kijiti makabila,dula kamuachia bwax wenyewe wanaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Dakika hii Sijajua naishi ulimwengu gani mimi..

Itabidi nijichangaje sasa at least nipate na story za kuhadithia [emoji23][emoji23]

[emoji23]Hamna mambo mengine yanakufikia ulipo , hayo mambo sisi tunayaishi ndio mana tunayasimulia hatutumii nguvu nyingi kuyajua[emoji3]. Kuna vitu vipo si wenyewe hatuvijui ila watu fulani wanavijua kwakua ndio maisha yao.

Siunajua "Kila munu avena kwao"

Ila kweli lakini..umenifanya nikawa mnyonge[emoji23]

Nitakuhadithia siku moja vitu nipendavyo najua nawe utashangaa pia[emoji1787]

Hicho kibantu imebidi nielewe tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisiwe muongo bwax n mkali kwanza kanifanya nipende singeli hatr

Hits
1: mzee wa bwax -kisulisuli
2:mzee wa bwax -kisimu changu
3:sholomwamba-anataka uma
4;dulla makabila-motoni kumedamshi
5:man fongo -hainaga ushemeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom