Hahaha mia piaHuu muziki unakuingia taratibu.
Asee mimi nilikuwa sipendi huu muziki balaa ila sijui nini kilitokea sikuhizi naona unanikamta kidogo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kajitahidiSema shalo mwamba kadumu sana kwenye gemu mkuu pasipo kushuka ukilinganisha na wengine.
Ngoja tumuangalie na huyu dogo bwax
Kama itakuwa ivyo. Japo kwa sasa kama unavyosema hakuna kama yeye.
mkuu umemaliza limeona wadau wanaleta ubishani mwingi nmeona bora nkae kimya since 2017 mpaka now jukwaani huyo mwamba ni nuksiTafuta clip za sholo mwamba uje kuleta mrejesho jamaa japo atoi hit ila kwenye jukwaa nuksi hakuna wa kumfikia mpka wenzake wanajua hh
Mpaka Dakika hii Sijajua naishi ulimwengu gani mimi..Aah mkuu sio kweli.
Hatusemi kwamba sio wakali mkuu wote hao sisi shabiki zao lakini;
Dula makabila zama zake pia zimepita ... Weka "Bia zangu umekumywa pamoja na Viroba tupa kule skuizi mwendo wa safari" uone ipi itanyanyua watu.
Mkuu hata ukiwachanganya Manfongo,Sholo mwamba, dula makabila na huyo dogo alokufa juzi bado kwa sasa hivi hawamfikii mzee wa bwax. 2018-2020 zama za Bwax mkuu
manfongo kampa kijiti sholo,sholo alimpa kijiti makabila,dula kamuachia bwax wenyewe wanaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Hamna mambo mengine yanakufikia ulipo , hayo mambo sisi tunayaishi ndio mana tunayasimulia hatutumii nguvu nyingi kuyajua[emoji3]. Kuna vitu vipo si wenyewe hatuvijui ila watu fulani wanavijua kwakua ndio maisha yao.Mpaka Dakika hii Sijajua naishi ulimwengu gani mimi..
Itabidi nijichangaje sasa at least nipate na story za kuhadithia [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli lakini..umenifanya nikawa mnyonge[emoji23][emoji23]Hamna mambo mengine yanakufikia ulipo , hayo mambo sisi tunayaishi ndio mana tunayasimulia hatutumii nguvu nyingi kuyajua[emoji3]. Kuna vitu vipo si wenyewe hatuvijui ila watu fulani wanavijua kwakua ndio maisha yao.
Siunajua "Kila munu avena kwao"
Sent using Jamii Forums mobile app
nmemaanisha kila mtu ana kwao[emoji3]Ila kweli lakini..umenifanya nikawa mnyonge[emoji23]
Nitakuhadithia siku moja vitu nipendavyo najua nawe utashangaa pia[emoji1787]
Hicho kibantu imebidi nielewe tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende mpaka pale tarehe za birthday zitakapofika[emoji848][emoji23]
sasa si mwezi huu we jiandae ukazaliwe huko.. tutakodi yacht[emoji3]Twende mpaka pale tarehe za birthday zitakapofika[emoji848][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app