Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

Shakari

Senior Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
188
Reaction score
570
MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
 
Maajabu chama kwenye mtandao wao walimsifia kwa ule USHUZI ,siku moja baadae wakamkana 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
alitumwa na nani? amefikisha ujumbe bila kupepesa
 
OIC kuna Udini gani ... Picha upumbavu waliokataa Zanzibar kujiunga na OIC ndio wadini ..hivi unawajua mwmbers wa OIC

Off course ni muungano wa Kidini. Jina lenyewe linasema kila kitu.

Nchi pekee ambayo siyo ya Kiisilamu iliyoko kwenye huo muungano ni Uganda ... nayo iliingizwa humo na Idd Amin Dada ambaye alikuwa ni Muisilamu.
 
..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.

..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.

..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
percent ngapi ya wazanzibar ni waarabu hadi useme ni nchi ya kiarabu?
 
MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
Nadhani majibu anayo yeye mwenyewe
 
..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.

..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.

..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
Kwanza swali linapaswa liwe: nani atawazuia" wasiwe wanachama wa OIC"?
Kwa sasa hivi sioni kukiwa na upinzani wowote wakiamua kufanya hivyo.

Huko nyuma ilikuwa kidogo ni tatizo, kwa sababu Zanzibar haikuwa imejitangaza kuwa "nchi kamili" kama ilivyo sasa.

Labda hilo licheleweshwe kidogo tu kumpa Samia nafasi ya kutengeneza ngwe yake kamilifu hapo 2025, na baada ya hapo itakuwa ni mteremko tu; na bila shaka hata Tanganyika itabidi ifuate matakwa ya nchi ya Zanzibar.
 
Kuna siku ubalozi wa misri ulipita Media na kulalamika maofisa wa serikali hawaendi kuchukua msaada wa vifaa tiba na dawa waliotoa misri,yaani wakristu wa nchi hii wamejengewa chuki kwa muislam na mwarabu kiasi cha kutisha,so hilo la pic(organization of 'islamic' ..) hiyo islamic hapo inawatia kichefuchefu hatari
 
..nilichojifunza ni kwamba UARABU hautokani na RANGI ya ngozi ya mhusika.

..Zanzibar iliwahi kuwa na Sultani mweusi kuliko jaluo.
Inawezekana ange kuelewa vizuri zaidi huyo uliye mjibu kwamba "uarabu" umo akilini na siyo muonekano wa kiwili wili.
 
Back
Top Bottom