Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

Off course ni muungano wa Kidini. Jina lenyewe linasema kila kitu.

Nchi pekee ambayo siyo ya Kiisilamu iliyoko kwenye huo muungano ni Uganda ... nayo iliingizwa humo na Idd Amin Dada ambaye alikuwa ni Muisilamu.
Mozambique ina waislam 18% only na ni mwanachama tangu 1994
Gabon ina waislam 11.2% na ni mwanachama tangu 1974

Togo only 14% islam ni mwanachama since 1997

Muwe mnachungulia kwanza kabla ya kueneza chuki
 
OIC kuna Udini gani ... Picha upumbavu waliokataa Zanzibar kujiunga na OIC ndio wadini ..hivi unawajua mwmbers wa OIC
Wakiristo wana Ubalozi wa Vatican. Una mwakilishi nani?
 
Utaanzia wapi "kula nao sahani moja", wakati anaye wapa fursa hiyo, CCM, akiendelea kutamba apendavyo?

Bila kuidhibiti CCM ilivyo sasa hivi, huna njia yoyote ya kuzuia lolote.
Tutatumia hata waganga wa kienyeji hakuna namna
 
Wakiristo wana Ubalozi wa Vatican. Una mwakilishi nani?

..hata kama kungekuwa hakuna ubalozi wa Vatican, kama Zanzibar wanaamini watafaidika na OIC, Watanganyika hatupaswi kuwakwamisha. Muungano upo kwa ajili ya kuwezesha, sio kukwamishana.
 
kusema ukweli mimi daima nasema ukweli tupu. sioni shida zenji wakijiunga OIC. mbona haina shida hiyo oic. hatuoni tunawanyima fursa wanayoiamini itawasaidia? wajiunge haraka. sidhani kama kuna shida
 
Kikwete, Lukuvi, malechela, pinda , makamba na wasira, Hawa ndio wakitaka wanaweza kuvunja muungano au kuubadilisha. Wengine mtaishia kupiga kelele jf na muungano mtauona hivyohivyo.
Imenilazimu nikupe alama hiyo (nzuri); kwa jitihada uliyofanya katika fikra, na siyo kukubaliana na uwezo wa hao ulio waorodhesha kuwa na uwezo huo.

Kikwete, kwa nafasi yake, angeweza; lakini siyo Kikwete mwenye sifa zinazo julikana.

Hao wengine wote hawana msingi; mahali popote pa kushikia kuanza tu hata kuwa na fikra za namna hiyo.

Maadam umeanzisha mtizamo huu, nami ngoja nikune akili kuona ni jinsi gani muungano huu unaweza kuondolewa. Huu muungano umekuwa balaa.
 
Zanzibar imezidi kuwa kupe kuinyonya Tanzania.
Ipewe uhuru ili iwe huru kujianulia masuala yake.
 
..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.

..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.

..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
Sema nyie jamaa mkiwa wengi wa imani nyingine wanakuwa kama sio watu vile.
 
Back
Top Bottom