Maajabu chama kwenye mtandao wao walimsifia kwa ule USHUZI ,siku moja baadae wakamkana 🙆♂️🙆♂️MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
alitumwa na nani? amefikisha ujumbe bila kupepesaMZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
Wazanzibar wote wapo hivyoMZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
Wajiunge na muungano uvunjwe harakaOIC kuna Udini gani ... Picha upumbavu waliokataa Zanzibar kujiunga na OIC ndio wadini ..hivi unawajua mwmbers wa OIC
OIC kuna Udini gani ... Picha upumbavu waliokataa Zanzibar kujiunga na OIC ndio wadini ..hivi unawajua mwmbers wa OIC
percent ngapi ya wazanzibar ni waarabu hadi useme ni nchi ya kiarabu?..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.
..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.
..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
kweli kabisa..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.
..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.
..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
TabooOIC kuna Udini gani ... Picha upumbavu waliokataa Zanzibar kujiunga na OIC ndio wadini ..hivi unawajua mwmbers wa OIC
Nani atauvunja Muungano, mkuu 'Benja'; mbona ni kama unaandika tu maneno bila ya kuyatafakari vizuri!Wajiunge na muungano uvunjwe haraka
Nadhani majibu anayo yeye mwenyeweMZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
Kwanza swali linapaswa liwe: nani atawazuia" wasiwe wanachama wa OIC"?..Zanzibar ni nchi ya Kiislamu.
..Pia Zanzibar ni nchi ya Kiarabu.
..Hakuna sababu za msingi kuwazuia wasiwe wanachama wa OIC.
Kwa nini hawajitoi miaka 45 baada ya idd amin kutolewa madarakani?!Off course ni muungano wa Kidini. Jina lenyewe linasema kila kitu.
Nchi pekee ambayo siyo ya Kiisilamu iliyoko kwenye huo muungano ni Uganda ... nayo iliingizwa humo na Idd Amin Dada ambaye alikuwa ni Muisilamu.
Kuna siku ubalozi wa misri ulipita Media na kulalamika maofisa wa serikali hawaendi kuchukua msaada wa vifaa tiba na dawa waliotoa misri,yaani wakristu wa nchi hii wamejengewa chuki kwa muislam na mwarabu kiasi cha kutisha,so hilo la pic(organization of 'islamic' ..) hiyo islamic hapo inawatia kichefuchefu hatariTaboo
percent ngapi ya wazanzibar ni waarabu hadi useme ni nchi ya kiarabu?
Huu muungano unainyonya bara, ni muungano wa kitapeli haswa, sahivi tunaijenga Zanzibar kuliko kitu chochoteNani atauvunja Muungano, mkuu 'Benja'; mbona ni kama unaandika tu maneno bila ya kuyatafakari vizuri!
Inawezekana ange kuelewa vizuri zaidi huyo uliye mjibu kwamba "uarabu" umo akilini na siyo muonekano wa kiwili wili...nilichojifunza ni kwamba UARABU hautokani na RANGI ya ngozi ya mhusika.
..Zanzibar iliwahi kuwa na Sultani mweusi kuliko jaluo.