Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ni makanjanja.Majizo kwenye vituo vyake vya habari hasa vipindi vya michezo, ameokota watu mapoyoyo wanatafuta attention tu... Hawana akili hawana exposure, wao kilasiku ni kuichambua Yanga na Simba hata kama hazichezi watalazimisha wajadili...
Unataka kusema nini ndugu Muchwambuzi?Kama mchango wa Mayele ni 50% hapo Yanga basi mchango wa Chama utakuwa ni zaidi ya 80% hapo Simba
Katika timu kila mchezaji ana umuhimu wake na majukumu yake. Timu ina beki kazi yake kuzuia timu isifungwe, ina viungo ambao wanaunganisha timu na kuna washambuliaji wamesajiliwa kufunga. Kwa kauli hiyo anabeza nafasi nyingine na kumsifia mtu mmoja.Kupitia kipindi cha michezo cha efm, Wilson Oruma amekaririww akisema kwa kikosi cha Yanga ya sasa ukimtoa Fiston Kalala Mayele basi ubora wa Yanga unapungua kwa 50%
Akaongeza zaidi, Mayele pekee yake kwa ubora wake anaibeba Yanga kwa asilimia 50%. Hivyo ili Yanga iwe vizuri inahitaji ubora wa Mayele.
Alikuwa akiyazungumza hayo kuelekea mchezo wa kesho wa Marumo Vs Yanga ambapo wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika watashuka dimbani wakijaribu kutafuta matokeo ya kuwawezesha kutinga fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza.
Je unakubaliana na maoni ya Wilson Oruma " Mzee wa Jambia"
Kaka usisahau kumtaja Dickson JobMimi kwa mtazamo wangu Oruma kazingua, Yanga ya sasa inacheza zaidi kitimu kuliko kumtegemea zaidi mtu mmoja mmoja.
Namkumbusha aangalie mchango mkubwa wa kipa, Diarra ambaye aina yake ya kucheza imeisaidia sana timu kwa utulivu wake.
Pia aangalie mchango wa Mwamnyeto ambaye nae kajitahidi sana kuboresha kiwango chake.
Wapi Ibrahim Bacca?
Mkuu huyu ndio yule aliyesema "shughuli Yao imeishia hapa" baada ya Yanga kutoa sare na Club Africain uwanja wa taifaHilo jina lenyewe la huyo mchambuzi ndiyo nalisikia leo. Hivyo siwezi kumhukumu.
Inawezekana ndiyo zile sampuli za akina Bin Kazumari.
🚮🚮Kama mchango wa Mayele ni 50% hapo Yanga basi mchango wa Chama utakuwa ni zaidi ya 80% hapo Simba