Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Huu niuongo wawazi unaojaribu kuuchomekea hapa ili either kupoteza lengo la Uzi au kuhalalisha kudanga danga !!.Mi nna rafikibyangu ana 39 yrs siku moja tumehesabu tukafika 234 anasema wengine hawakumbuki ila wanaweza kufika 60
Kuna takwimu ilitoka idadi ya HIV walikuwa wengi kuzidi raia wa botswana.Na Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatare
Maralia ikikumata fasta tu unaweza sepa,kansa ndio usiseme sukari inammaliza bibi yangu lo
Sikiliza alafu nielewe wacha niongee naww kiutaalamu.Na mm toka nimfahamu miaka 10 ilopita nikiwahesabu masholi wanafika 70
Acha kudanganya watu.....Mataifa makubwa kila siku yanapambana na huu ugonjwa ,nawao wanamisosi kibaoo , wanajua namna gani ya kuishi ...Lkn bado hawalegezi ,, kila siku wanakaa vichwa kuwaza namna yakuzuia maambukizi.....Ogopa sana magonjwa haya, Cancer, Stroke, kisukari, Maralia na umaskini.
Ukimwi si miongoni mwa magonjwa hatari na soon tiba na kinga yake vitakuwa verified.
Ukifika South Africa na ukipewa takwimu za wenye ukimwi utohamini macho yako wale mademu wa kule wanavyopendeza na neema za Allah.
Kinachotugharimu Watanzania na ugonjwa wa ukimwi ni lishe duni tu na si vinginevyo, Wasouth Africa kwenye swala la misosi ni basic humanitarian needs, kula nyama kila siku si utajili kwao. Ukimwi upo South Africa asikudanganye mtu lakini wako poa na wanakula good time.
Huyo kaka yako ni muongo sanaa kama ni Doctor basi ni Dr manyaunyauNliambiwa na kaka yangu yupo wizara ya afya kwamba ugonjwa wa ukimwi sio tishio tena africa maana miili imeshajenga immunity ya kupambana nao. So ili mtu uugue labda uambukizwe zaidi ya maramoja. Ila ya kupita tu na kuondoka ni ngumu sana.
Hapa ndipo nilipokua nataka...Watu muache unafiki , namuwe wawazi .hakikisha unakua mstari wambele kuhakikisha Unasema kile ambacho kitakomboa nguvu kazi.Achana nae huyo UKIMWI UNAUAAAA hahahahahaha
HahahahahaHapa ndipo nilipokua nataka...Watu muache unafiki , namuwe wawazi .hakikisha unakua mstari wambele kuhakikisha Unasema kile ambacho kitakomboa nguvu kazi.
Watu 1.2 M Tanzania saizi wanangoma,, MNAJUA SERIKALI INALIPIA SHILINGI NGAPI ??????.
alafu mnapatikana watu wa kuudogosha huo ugonjwa kiasi kwamba uonekane sio kitu ,,Kwa faida IPI ?????
Ndo maana mnanipaga mashaka sanaa !!!.
Ukiona mtu anaudogosha ukimwi kuna mawili either anao ? Au hana ila anajijua ni mpenda ngono sanaaaa alafu nimuoga wa kucheki Afya sasa anajitahidi kujipa ujasiri "nko poa*!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Hahahahaha jamaaaa nmemcheka ..kwamba miili ya waafrika imeshajijengea Immunity dhidi ya HIV hahahahhahahaha.Huyo kaka yako ni muongo sanaa kama ni Doctor basi ni Dr manyaunyau
Aka kaswali kako kamenichekesha Dina.....ndo maana nakupendamo ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!Kwani we ni mkaka ?mbona jina la kike
Acha uongo ......Botswana Rate ya maambukizi nikubwa ila sio kwamba waathiriwa wanawazidi wasoathiriwa !!...na sababu kubwa ya maambukizi kule sio ngono...Kuna takwimu ilitoka idadi ya HIV walikuwa wengi kuzidi raia wa botswana.
Ilikuwa ni takwimu ilikosewa jaribu kusoma post yangu vizuriAcha uongo ......Botswana Rate ya maambukizi nikubwa ila sio kwamba waathiriwa wanawazidi wasoathiriwa !!...na sababu kubwa ya maambukizi kule sio ngono...
Mila nadesturi zao !!.
Sasa nilivyoona darleen nikajua moja kwa moja ni jina la kike,,we ulijua la kiume? Sasa alivyosema amekitembeza kwa mashori ndio nikajua kumbe dumeAka kaswali kako kamenichekesha Dina.....ndo maana nakupendamo ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
HONGERA KWA KUTOA COMMENT MURUA YA SAA,UMEPOKEA "Like" MOJA MATATA SANA TOKA KWANGU! UTASHABIKIAJE CHAMA AMBACHO HATA MUNGU ANAKIOGOPA KWA UKATILI?!Huo ndio mshahara wa dhambi ya kutetea CCM
Mia miaIlikuwa ni takwimu ilikosewa jaribu kusoma post yangu vizuri