Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Mi nna rafikibyangu ana 39 yrs siku moja tumehesabu tukafika 234 anasema wengine hawakumbuki ila wanaweza kufika 60
Huu niuongo wawazi unaojaribu kuuchomekea hapa ili either kupoteza lengo la Uzi au kuhalalisha kudanga danga !!.

Guys msikubali hizi kauli nizwatu waloshindwa tayari
 
Nliambiwa na kaka yangu yupo wizara ya afya kwamba ugonjwa wa ukimwi sio tishio tena africa maana miili imeshajenga immunity ya kupambana nao. So ili mtu uugue labda uambukizwe zaidi ya maramoja. Ila ya kupita tu na kuondoka ni ngumu sana.
 
Na Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatare
Maralia ikikumata fasta tu unaweza sepa,kansa ndio usiseme sukari inammaliza bibi yangu lo
Kuna takwimu ilitoka idadi ya HIV walikuwa wengi kuzidi raia wa botswana.
 
Duh! Kumbe na wakubwa wanaugua? Me nilihisi tumeumbiwa cc makabwela
 
Na mm toka nimfahamu miaka 10 ilopita nikiwahesabu masholi wanafika 70
Sikiliza alafu nielewe wacha niongee naww kiutaalamu.

Kila kirusi ndani ya mwili wa mwanadamu kina vipokezi vyake ,, hii inamaana ukiwa huna vipokezi vya HIV hata utombane na waathirika wangapi upate michubuko vipi HUWEZI PATA NGOMA.

SASA basi hapa duniani watu wasokua na HIV receptors niwachache sanaaaa.

GUYS ..mtu asiwadanganye Ukimwi unaua!!.
 
Ogopa sana magonjwa haya, Cancer, Stroke, kisukari, Maralia na umaskini.

Ukimwi si miongoni mwa magonjwa hatari na soon tiba na kinga yake vitakuwa verified.

Ukifika South Africa na ukipewa takwimu za wenye ukimwi utohamini macho yako wale mademu wa kule wanavyopendeza na neema za Allah.

Kinachotugharimu Watanzania na ugonjwa wa ukimwi ni lishe duni tu na si vinginevyo, Wasouth Africa kwenye swala la misosi ni basic humanitarian needs, kula nyama kila siku si utajili kwao. Ukimwi upo South Africa asikudanganye mtu lakini wako poa na wanakula good time.
Acha kudanganya watu.....Mataifa makubwa kila siku yanapambana na huu ugonjwa ,nawao wanamisosi kibaoo , wanajua namna gani ya kuishi ...Lkn bado hawalegezi ,, kila siku wanakaa vichwa kuwaza namna yakuzuia maambukizi.....

Alafu Wewe mwafrika mmoja ,kisha unakula vzuri ndo uufananishe Ukimwi na Malaria ????.

GUYS ..achaneni nawatu waloshindwa hawa hata ukimwambia twende tupime chenga zinakua nyingi hahahahahah
 
Nliambiwa na kaka yangu yupo wizara ya afya kwamba ugonjwa wa ukimwi sio tishio tena africa maana miili imeshajenga immunity ya kupambana nao. So ili mtu uugue labda uambukizwe zaidi ya maramoja. Ila ya kupita tu na kuondoka ni ngumu sana.
Huyo kaka yako ni muongo sanaa kama ni Doctor basi ni Dr manyaunyau
 
Achana nae huyo UKIMWI UNAUAAAA hahahahahaha
Hapa ndipo nilipokua nataka...Watu muache unafiki , namuwe wawazi .hakikisha unakua mstari wambele kuhakikisha Unasema kile ambacho kitakomboa nguvu kazi.

Watu 1.2 M Tanzania saizi wanangoma,, MNAJUA SERIKALI INALIPIA SHILINGI NGAPI ??????.

alafu mnapatikana watu wa kuudogosha huo ugonjwa kiasi kwamba uonekane sio kitu ,,Kwa faida IPI ?????

Ndo maana mnanipaga mashaka sanaa !!!.

Ukiona mtu anaudogosha ukimwi kuna mawili either anao ? Au hana ila anajijua ni mpenda ngono sanaaaa alafu nimuoga wa kucheki Afya sasa anajitahidi kujipa ujasiri "nko poa*!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Hahahahaha
 
Huyo kaka yako ni muongo sanaa kama ni Doctor basi ni Dr manyaunyau
Hahahahaha jamaaaa nmemcheka ..kwamba miili ya waafrika imeshajijengea Immunity dhidi ya HIV hahahahhahahaha.

Wakati in Sub Saharan countries W.H.O inasema there is an increase in rate of HIV infection ??.

Dr .manyaunyau huyooooo
 
Kuna takwimu ilitoka idadi ya HIV walikuwa wengi kuzidi raia wa botswana.
Acha uongo ......Botswana Rate ya maambukizi nikubwa ila sio kwamba waathiriwa wanawazidi wasoathiriwa !!...na sababu kubwa ya maambukizi kule sio ngono...

Mila nadesturi zao !!.
 
Acha uongo ......Botswana Rate ya maambukizi nikubwa ila sio kwamba waathiriwa wanawazidi wasoathiriwa !!...na sababu kubwa ya maambukizi kule sio ngono...

Mila nadesturi zao !!.
Ilikuwa ni takwimu ilikosewa jaribu kusoma post yangu vizuri
 
Aka kaswali kako kamenichekesha Dina.....ndo maana nakupendamo ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
Sasa nilivyoona darleen nikajua moja kwa moja ni jina la kike,,we ulijua la kiume? Sasa alivyosema amekitembeza kwa mashori ndio nikajua kumbe dume
Najua unanipendamo ila kua makini na mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mim jitu bayaaaaa
 
Back
Top Bottom