Mzee wa kulia akikamatwa kwenye umbea

Hahahahaha Mimi nilikua najua nimwanamke maana kuna Uzi alikua anachangia km Ke ,, nikajua ni Ke..... Kumbe ni Me ??..

Jf inavisanga Dina!!.....Ngosha mie nakupendamo hivo hivo ..sisi mangosha hatutupani [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Ngosha cheupee
 
Mkuu Putin naona umekomaa na huu uzi hadi watu tumeamua kusoma comments zako kwa jicho moja, huku tumejificha...hahaha... Bora nikasome jukwaa la siasa kuliko comments zako humu...hahahahaha, maana unaharibu mood za watu.
 
Mim ndio maana hata ushauri hua sitoi kuna watu humu mara ni me mara ke,kuna nyuzi huwa nazipita tu
Sasa Kumbe we ni Ngosha uniombee mazuri sasa,sio kuniwazia mabaya au kwa vile wasukuma tupo wengi sana
 
Hahahaha putin unaona sasa
Lakin pamoja na kutahadhalishwa kwani mnakoma sasa
 
Mim ndio maana hata ushauri hua sitoi kuna watu humu mara ni me mara ke,kuna nyuzi huwa nazipita tu
Sasa Kumbe we ni Ngosha uniombee mazuri sasa,sio kuniwazia mabaya au kwa vile wasukuma tupo wengi sana
Tupo wengi sanaaaa kiasi kwamba nikm ilivyo China , akinyongwa mmoja ni "Twente tuuuu".... Bariadiii mojaaaa.

Aya Dina alafu jina lako km ukoon mwetu lipo nawapo akina dina wengiiiii.
 
Hii mada haitachangiwa sana kwani circle haiko bali kuijoin jf.
 
Tupo wengi sanaaaa kiasi kwamba nikm ilivyo China , akinyongwa mmoja ni "Twente tuuuu".... Bariadiii mojaaaa.

Aya Dina alafu jina lako km ukoon mwetu lipo nawapo akina dina wengiiiii.
Yap tupo wengi sana
Basi mi nilijuaga we Mhaya,,dina,diana,edina haya majina yanapendwa na wasukuma sana
 
Aiseee huu ugonjwa upo sema huwa twajisahau tuu na una angamiza sana....
Huyo aliye comment pengine anataka kumchafua tuu lakini kama ni kweli basi yeye na mdogo wake ni wapumbavu sana.....
 
Wewe jinga sikiliza, mimi siandiki hapa vitu vya kusoma mitandaoni kama wewe, nimeishi first world, ni nani aliyekudanganya mamtoni bado watu wanawaza mambo ya ukimwi?

Umefika ulaya wewe? Niambie ulaya gani kuna mabango ya kupambana na ukimwi au kutumia condom?

Kati ya ukimwi na Maralia, Maralia ndio ugonjwa hatari zaidi ya ukimwi, ila kwa popoma kama wewe huwezi kulijuwa hili lipo juu ya uwezo wako wa kuchanganuwa mambo.
 
Aiseee huu ugonjwa upo sema huwa twajisahau tuu na una angamiza sana....
Huyo aliye comment pengine anataka kumchafua tuu lakini kama ni kweli basi yeye na mdogo wake ni wapumbavu sana.....
Sijui kasema ili iweje lo
 
Yap tupo wengi sana
Basi mi nilijuaga we Mhaya,,dina,diana,edina haya majina yanapendwa na wasukuma sana
Mie ni nusu nusu hahaaaaaa ....nawajua hasa Dina ,,Neema ,,ndo majina ya wasukuma sanaaaa !!.sema kitu kimoja ninachopendea Ngosha wenzangu haaaaaa (/acha umbeya ).
 
Duuuuuuu
 
Si alisema atagombea Ubunge Kinondoni kupitia CHAMA!
 
Kwani kuna atakaye ishi milele jamani, kufa ni moja ya maisha, kwanini watu wanaogopa kufa wakati ndio part ya maisha ?
 
Ajabu ipi, kuumwa ni dhambi?, hujawhi kuugua?, au kuuguza?, na kuugua sio kufa, pengine unalako jambo kuhusu huyu jamaa
Vipi mbona unatuzuia tusi jadili? unataka wote tufe kwa ugonjwa mmoja? ni nani ameonesha kushangaa mtu kuumwa?
Halafu hili ni jukwaa linalo muhusu huyo Steve kwa hiyo kama hutaki ajadiliwe ni wewe....sisi tutaendelea kujadili hasa na haka kaugonjwa na tutatafuta ukweli kama kweli amewaambukiza kwa makusudi huyo binti na dada yake na baada ya kupata ushahidi nitakutag uje tujadili na kisha tutamsomea Albdir ili ahare zaidi....(jokes)
Kama utaki kujadili nenda jukwaa la Teknolojia au la elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…