Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliwapima au story tu za kuhisi,,msihisi watu na hamjawapima ndio maana nimeleta sijatoa maoni yangu maana steve sijampimaJaman sio Bongo muvi tu...sihata humu mliambiwa habar za Bwana Smart ???.
Kwaufupi hata humu kuna mabwana smart ,mabwana Steve..Mrs smart na Mrs Steve tunao humuhumu .
Wakuuu nituwe Makini sana !!.
Tehee teheee Usipanick Mdada !!.Waliwapima au story tu za kuhisi,,msihisi watu na hamjawapima ndio maana nimeleta sijatoa maoni yangu maana steve sijampima
We kuna hata mmoja wa humu jf ushampima na ukakuta anao?
Hhhaaaa acha kuishi kwa hisia na kuumba image,,hebu nitajie hizo rafu nilizotembeza humuTehee teheee Usipanick Mdada !!.
Kwan weee nimesema Wana ngoma ??? Nmesema km we ulivyosema !!! Ungekua naww uko vzuri naunachokifanya na hutaki nisemw nilivyosema ,basi usingeweka post yako maana nayo umeiweka lkn kichwan ulichokimaanisha kila mtu anakijua ...Upooooooo !!.
Alafu duuuhhh mshikaji una wasiwasiii,, umejaa hofuuuuuuuuu hahahaaaa haaaaaaaa Ndo ubaya wa kucheza Rafu pasipo umakini Hamuishagi kuhaha haha ...maana mnaanza kufikiriaaaa yanyumaaaaa ,fulaniiiii ,au niyuleeee hahahahahah.
Pole mama !!! Wacha nikuache na Miss wasiwasi...
Tatizo ulonalo sasa nilakisaikolojia ,, Kila Uzi utaofunguliwa humu wa aina ile Haukuachi salama nawala haukupi Amani ..nahii nisababu Toka umejiunga JF had Leo bila Shaka Rafu umezitembeza sana humu na hata nje sasa hapo ulipo umejaa HOFU .
Jioni njema !!.
Teheeeee teheeeeeeee umepanick kiasi kwamba hata kujibu umejibu kwa Kupanick !!.Hhhaaaa acha kuishi kwa hisia na kuumba image,,hebu nitajie hizo rafu nilizotembeza humu
Au waweza nikusaidie twende basi tukapime
We ndio unaishi kwa wasiwasi humu jichunge,kua na subira
Huwezi nipanikisha hata theruthi na haumo kabisa kwenye kichwa changu,
Ni hivi msihisi watu mmewapima?mbona mnapenda kuishi kwa kuhisi hebu jaribu kuwa positive utakua na raha sana
Kuhusu steve ni wanasema na huyo binti analalamika kuambukizwa HIV ,sijawapima ndio sijatia neno
Ila wewe ,nipaniki kisa nini na magazeti yako amaTeheeeee teheeeeeeee umepanick kiasi kwamba hata kujibu umejibu kwa Kupanick !!.
Pole sanaaaa Mkuuu !! Naona unajaribu kujivika ujasiri wauthubutu mbele ya jamiii lakn moyoni umejaa hofu wasiwasi chungu nzima !!!.kwaufupi umepapaaaa unahahaaaa ,,unajaribu kutumia nguvu nyingiiiiii kufunika kitu ambacho kamwe hakifunikiki hahahahaha.
( Paka sio wakugombana naye huku umefunga madirisha na mlango atakujeruhi tu[emoji23] [emoji119] [emoji109] )
What's the point there ??? Laiti mioyo ingesema hahaaaaaaaa moyo wako ungekuuumbua hapa hapa..
Aiseee Guyz mie naendelea kuwakumbusha aiseee humu ndani ma bwana Smart na Mr smart wapo kibaoooooooooooo !!.
Kuweni makini sanaaaaaa kuna watu hawana huruma kazi yao nikutafuta Idadi tu !!!!.
Mtu asikudanganye kama JF nisalama ,, ukimpata hakikisha mnapima kwanza , ukiona anagoma Achana naye !!!.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo kwenye huu Uzi siondoki ng'oooooooo.
Nipo popo mtuuu....Watu ORODHA walotembea nayo ndo inawatikisaaa inawageuza geuza km chapati !!! ..unamiaka 30 umeliwa na watu 37 hahahahaha....shame on you !!.
Dahh hhhhaaaa .putin akiona hapa ataogopa balaaHuu ugonjwa mpaka uupate lazima ufanye shughuli ya kueleweka. Mm nishagusa sehwm mbili hatari na baadae nikaja kugundua walikuwa tauari wanao. Ila nimepima zaidi ya mara kumi nipo fresh. Na mara ya mwishi nlipima apollo hospital bangarole
Hahahahaha hahaaaa ngoja nicheke kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Ila wewe ,nipaniki kisa nini na magazeti yako ama
Ukimwi upo popote pale ,,kama unauogopa acha kutiana lasivyo utaupata, na vistori vyenu vya kutunga kazana utoe kitabu kabisa sawa Putin au leo naongea na pipa tupu
Mwendo mdundo fungeni zipu mtakufa
Sawa daktare wanguHahahahaha hahaaaa ngoja nicheke kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Acha kudanganya watu !!!
GUYS Ukimwi Unaua ,ukimwi sio Malaria ndo maana inakuaga nisiri yamtu ,, Hapa mtu anakugegeda/unamgegeda hatokaa akuambie !! Unadhan kwann ???.
GUYS Msidanganyike Just play it Safe!! Achaneni na maneno yawatu waloshindwa watu walokwisha tayar kukubaliana na kila linalokuja mbele yao Bila hata kua na Tahadhari !!.
Hah hah hah Mkuu umenikumbusha mbaaaali.Kumbe ana KAZEZE NI KASHESHE
Ogopa sana magonjwa haya, Cancer, Stroke, kisukari, Maralia na umaskini.Waliwapima au story tu za kuhisi,,msihisi watu na hamjawapima ndio maana nimeleta sijatoa maoni yangu maana steve sijampima
We kuna hata mmoja wa humu jf ushampima na ukakuta anao?
Mi nna rafikibyangu ana 39 yrs siku moja tumehesabu tukafika 234 anasema wengine hawakumbuki ila wanaweza kufika 60Leo kwenye huu Uzi siondoki ng'oooooooo.
Nipo popo mtuuu....Watu ORODHA walotembea nayo ndo inawatikisaaa inawageuza geuza km chapati !!! ..unamiaka 30 umeliwa na watu 37 hahahahaha....shame on you !!.
Na Botswana ee hawaogopi kabisa HIV ,,hakuna ugonjwa mbaya kama kisukari ni hatareOgopa sana magonjwa haya, Cancer, Stroke, kisukari, Maralia na umaskini.
Ukimwi si miongoni mwa magonjwa hatari na soon tiba na kinga yake vitakuwa verified.
Ukifika South Africa na ukipewa takwimu za wenye ukimwi utohamini macho yako wale mademu wa kule wanavyopendeza na neema za Allah.
Kinachotugharimu Watanzania na ugonjwa wa ukimwi ni lishe duni tu na si vinginevyo, Wasouth Africa kwenye swala la misosi ni basic humanitarian needs, kula nyama kila siku si utajili kwao. Ukimwi upo South Africa asikudanganye mtu lakini wako poa na wanakula good time.
ACHA KUDANGANYA WATUUUUU ACHA KABISAA KUDANGANYA WATU.Huu ugonjwa mpaka uupate lazima ufanye shughuli ya kueleweka. Mm nishagusa sehwm mbili hatari na baadae nikaja kugundua walikuwa tauari wanao. Ila nimepima zaidi ya mara kumi nipo fresh. Na mara ya mwishi nlipima apollo hospital bangarole