Mzee wa Msoga alikuwapo kumnadi Odinga kama nani?

Tuacheni masihara, Mseven ni mbishi sana. Yaani Kilometa zimesoma, kakongoroka kimtindo lakini mpaka sasa hajawaza hata chembe kuachia madaraka.

Kwa mtaji huku:

IMG_20240825_164857~2.jpg

Huyo hata akiachia anaweza kuwa kama wa msoga tu.
 
Kwanini hudhani Obasanjo anamwakilisha Tinubu?

Unadhani wa Burundi na wa Rwanda wale wamealikwa kama wao au ni uwakilishi?
mimi sioni mantiki ya Obasanjo kumuwakilisha Tinubu, ila amekwenda kwa mualiko wake mwenyewe kama rais mstaafu, sawa na Kikwete.

Kwenye shughuli nyingi za chaguzi za kimataifa baadhi ya marais wastaafu huwa wanaalikwa kama vile kufanya monitoring.
 
[emoji7]
 
Simkubali Odinga hata kwa ubalozi wa nyumba 10, ni mtu wa gozgozi sana
 
mimi sioni mantiki ya Obasanjo kumuwakilisha Tinubu, ila amekwenda kwa mualiko wake mwenyewe kama rais mstaafu, sawa na Kikwete.

Kwenye shughuli nyingi za chaguzi za kimataifa baadhi ya marais wastaafu huwa wanaalikwa kama vile kufanya monitoring.

Labda na aliyekuwa mkuu wa majeshi Rwanda na waziri mkuu wa Burundi wamealikwa kama wao?

Hivyo hivyo labda Museveni na hata Samia?

Looh!

Mwono wako huoni kuwa uko fyongo mno?
 
Back
Top Bottom