Mzee wa Msoga, Kama hayupo vile, ila ndo anasukuma Kete yake 'Mwishoooni atuwekee Mtu wake et aje kama Mpatanishi/Mfariji".

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli

Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa.

Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku wa Leo kua Mzanzibari hatoimaliza 2027 kwa namna yoyote ile !!.

Mzee Msoga ni kirusi sana cha Hii NCHI !!
 
Kwa hiyo waitisha maandamano ya nyie wagalatia against waislam?
Tz hii hii!
 
Nguvu ya kunya tu ndio itaikomboa hili taifa. Tujikusanye mamilioni twende mafungu kwa mafungu kwa halaiki tuzingire ikulu zote, ofisi zote za serikali na makazi yote ya wanasisiem na tunye kwa pamoja halafu siyo kunya kwa kawaida ni kushusha mzigo wa maana siyo ya kitoto. Kuwaachia milima ya mavi na harufu mbaya. Mbona wataachia madaraka tu.

Mamamazao
 
Wewe utawehuka!
 
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli

Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa.

Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku wa Leo kua Mzanzibari hatoimaliza 2027 kwa namna yoyote ile !!.

Mzee Msoga ni kirusi sana cha Hii NCHI !!
Nitafurahi sana kama nilivyofurahi March 17
 
Maslahi yanalindwa mzee... 2030 wanaingia wenyewe mubashara front ndo maana walilazimisha aliyepo aendelee miaka 5... yule alitumwa akajifanya mjuaji, mwenzake anakula na kipofu..

atakuwa ameongoza kwa miaka 24 akiwa hai mpaka 2040.. amemzidi hata mchongameno..
 
Back
Top Bottom