Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh haya kuna siku utaikumbuka hii postWoi odee sio yeye
Ntamuita akuombee ugeuke kuku tukakusosi na chipsHahahaha chitaki
ila wanakusanya sadaka na wanakunywa nazo divaiWakati hapo hapo wanasema "Tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano"sasa tuelewe lipi
We unapenda masikini???Hawa manabii Wa Kizazi cha kidigitali wana shida Sana.
TrueWe unapenda masikini???
AiseeeeNaunga mkono hoja, umasikini ni ufala kabisa.
Umasikini unatoka kwa shetani, umasikini ni roho.
Maandiko matakatifu yanasema, mpingeni shetani naye atawakimbia.
Roho nyingine zitokazo kwa shetani zinazoambatana Na umasikini ni maradhi n ujinga
tena ule umaskini wa akili.si wa maliSio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote