Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Yesu Kristo anaendelea kuwafunulia yaliyofichika.

Wengine hawaoni,hawaoni wamekuwa mafala!
 
huyu mzee anaongea facts tu sema facts zake zinawachoma wengi maana zinakwenda kinyume na ukweli na hali waliyonayo. juzi tu hapa kasema kiba ana kiburi
 
Wakati hapo hapo wanasema "Tajiri kuuona ufalme wa mbingu ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano"sasa tuelewe lipi
 
Sadaka zimelevya na wananchi nao dini imetupumbaza.licha ya kuongea kwa dhararu nashangaa waumini wake wanaongezeka tu
 
Naunga mkono hoja, umasikini ni ufala kabisa.
Umasikini unatoka kwa shetani, umasikini ni roho.
Maandiko matakatifu yanasema, mpingeni shetani naye atawakimbia.
Roho nyingine zitokazo kwa shetani zinazoambatana Na umasikini ni maradhi n ujinga
Aiseeee
 
Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako

Alipohojiwa na Times Fm

Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!

We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!

Video hapa chini inaeleza yote

tena ule umaskini wa akili.si wa mali
 
Back
Top Bottom