Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
CCM Chama cha Mashetanikwa hiyo ccm= umasikini= shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM Chama cha Mashetanikwa hiyo ccm= umasikini= shetani
Ibrahim alikuwa tajiri, Paulo alikuwa tajiri, Yakobo alikuwa tajiri, masikini alikuwa Lazaro peke yake.Kuingia Mbinguni itakuwa ngumu
Sawa na ngamia kupita kwa tundu la sindano
Kuna psychologia nyuma yake. Unajua hawa wahubiri wa dini zinazomea kama uyoga wanacheza na minds za watu. Kwa mfano hapa anajua kabisa tatizo kubwa la watanzania ni umaskini. Na ili kuwavuta wengi anasema hili tatizo ni la kujitakia. Lakini hapo hapo anakuja na solution i.e. njoo kwangu nikuonyeshe namna ya kuliondoa! Ni hapo sasa ukienda unapigwa zaka na fungu la kumi. Unazidi kuwa maskini na yeye anaishi kifahari. Mtumishi wa Mungu wa kweli hawezi kujikweza na kutembelea magari ya kifahari au kuishi kwenye majumba ya kifahari.Hawa Wahubiri/Manabii hupenda sana huo msemo ilihali wa huchangisha Wenzao na kutajirika.
USA ni makao makuu ya shetaniMarekani ni Taifa tajiri linaloongoza kuwa na maskini wengi barabarani barani Ulaya
Sometimes huwa namuonasanii maana ana kauli mbovu.. japo ujumbe aliokuwa akitaka kufikusha una ukweliSio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako
Alipohojiwa na Times Fm
Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!
We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!
Video hapa chini inaeleza yote
kwani kifupi cha Chama cha Mashetani ni nini?Ukikamatwa sikuletei chai Jela
Ibrahim alikuwa tajiri, Paulo alikuwa tajiri, Yakobo alikuwa tajiri, masikini alikuwa Lazaro peke yake.
Wewe ni Jf, au wewe ni ndugu msomaji?Unaongea na mimi au jamii forum?!
Ahaa. Asante. Nitaenda huko.
UmetishaMuandika thread
Nakusanya mbeguSadaka kanisani kwa kakako zimeisha ee?!
Naona kachoooka kaisha mwili anaanza kututukana
Wasukuma Mungu anawaonaa
Amen brother nimekupenda una akili sana
Achana na huyo bujibuji ana undugu na Mzee wa Upako, wote wa Mwanza hao
Kwahiyo we tajiri Au Fala? !
Hao utajiri wao hawakuupa kwakuchangisha fungu lakumi kama hawa manabii uchwaraIbrahim alikuwa tajiri, Paulo alikuwa tajiri, Yakobo alikuwa tajiri, masikini alikuwa Lazaro peke yake.
Waebrania Mlango 7Hao utajiri wao hawakuupa kwakuchangisha fungu lakumi kama hawa manabii uchwara
Nina uwezo wa kumpa maji mtu yeyote alie na kiuKwahiyo we ni tajiri au Fala? !
Mzee wa upako anahitaji overhaul..