Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Mzee wa Upako anasema kuwa Masikini ni Ufala!

Hawa Wahubiri/Manabii hupenda sana huo msemo ilihali wa huchangisha Wenzao na kutajirika.
Kuna psychologia nyuma yake. Unajua hawa wahubiri wa dini zinazomea kama uyoga wanacheza na minds za watu. Kwa mfano hapa anajua kabisa tatizo kubwa la watanzania ni umaskini. Na ili kuwavuta wengi anasema hili tatizo ni la kujitakia. Lakini hapo hapo anakuja na solution i.e. njoo kwangu nikuonyeshe namna ya kuliondoa! Ni hapo sasa ukienda unapigwa zaka na fungu la kumi. Unazidi kuwa maskini na yeye anaishi kifahari. Mtumishi wa Mungu wa kweli hawezi kujikweza na kutembelea magari ya kifahari au kuishi kwenye majumba ya kifahari.
 
Sio maneno yangu ni ya Mchungaji Mzee wa Upako

Alipohojiwa na Times Fm

Kwani watu wanapenda kuwa maskini jamaa mbona huyu Baba anajisahau?!

We Mchungaji wewe Mungu anakuoonaa!

Video hapa chini inaeleza yote

Sometimes huwa namuonasanii maana ana kauli mbovu.. japo ujumbe aliokuwa akitaka kufikusha una ukweli
 
Ibrahim alikuwa tajiri, Paulo alikuwa tajiri, Yakobo alikuwa tajiri, masikini alikuwa Lazaro peke yake.

Mkuu Yesu alikuwa hana hata nyumba, Waisraeli walikuwa watumwa kwa miaka 400, baadaye watumwa Babylon na wakati wa yesu maskini wa kutupwa chini ya warumi.

Lakini Yesu ajawaihi kuwaita mafala, kuwakejeli au kuwadharau.

Hii labda ni ukristo wa kisasa. Hawa watoto wa mtaani yatima, hawana elimu yoyote pia ni mafala?

God ask us to look after the least among us, the orphans, the sicks, those in prison those without food and accomodation. He said whatever you did to them you did to me. Mathew 25: 40.

What kind of Christianity are we following?
 
Amen brother nimekupenda una akili sana

Achana na huyo bujibuji ana undugu na Mzee wa Upako, wote wa Mwanza hao

Dini zote zinatufundisha kuwajali wajane, yatima, wafungwa, wagonjwa, maskini, wazee na watoto. (The least among us).

Hivi inawezekana mtu yoyote anayefata dini kusema yeye ni mtu wa dini halafu akawa na dharau kiasi hiki kwa watu wa chini take kwenye jamii yetu?

Dini ipo kwa sababu gani?
 
Hao utajiri wao hawakuupa kwakuchangisha fungu lakumi kama hawa manabii uchwara
Waebrania Mlango 7

1 Kwa maana Melkizedeki huyo, mfalme wa Salemu, kuhani wa Mungu aliye juu, aliyekutana na Ibrahimu alipokuwa akirudi katika kuwapiga hao wafalme, akambariki;
2 ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu vyote; (tafsiri ya jina lake kwanza ni mfalme wa haki, tena, mfalme wa Salemu, maana yake, mfalme wa amani
 
Back
Top Bottom