Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa.

Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
 
Utatu mtakatifu umemshinda

Ana divert attention huyo mkewe huyo mbona hatujawahi kumwona walau kapiga naye picha au kuwa naye kwenye public event ? Au wakitandika pamoja konyagi?

Huyu ni Muislamu aliyekuja kwenye ukristo kuibia wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…