Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

Kama mimi ningekuwa Mkristo basi ningem challenge hivi huyo Pastor.

Kama lengo la Mungu ni kuzaa ili kuijaza dunia, kwanini option ya kuwa na mwenza zaidi ya mmoja iwe fixed upande mmoja?

Kwanini iwe wanaume tu peke yao ndio wenye hiyo access ya kuwa na wanawake wengi?

Kwanini na wanawake nao wasipate hiyo option ya kuwa na wanaume wengi ili kuharakisha zoezi zima la kuijaza dunia lifanyike kwa haraka?
 
Yeye kama anataka kuoa wake wengi aoe tu! Lakini ndoa ni ya Mme mmoja na Mke Mmoja kama ilivyokuwa mwanzo,kama Yesu Kristo anavyosema,
Mathayo19:4-7
Mwanzo2:21-24
Kila mtu awe na Mke wake Mwenyewe na kila Mwanamke awe na Mme wake Mwenyewe,
(1Wakorintho7:1-4)
 
Kama mimi ningekuwa Mkristo basi ningem challenge hivi huyo Pastor.

Kama lengo la Mungu ni kuzaa ili kuijaza dunia, kwanini option ya kuwa na mwenza zaidi ya mmoja iwe fixed upande mmoja?

Kwanini iwe wanaume tu peke yao ndio wenye hiyo access ya kuwa na wanawake wengi?

Kwanini na wanawake nao wasipate hiyo option ya kuwa na wanaume wengi ili kuharakisha zoezi zima la kuijaza dunia lifanyike kwa haraka?
Kama ungeuliza hilo swali ndio ungejidhihiridha kuwa kichwani kuna mayai viza ya kutosha.
 
Kama mimi ningekuwa Mkristo basi ningem challenge hivi huyo Pastor.

Kama lengo la Mungu ni kuzaa ili kuijaza dunia, kwanini option ya kuwa na mwenza zaidi ya mmoja iwe fixed upande mmoja?

Kwanini iwe wanaume tu peke yao ndio wenye hiyo access ya kuwa na wanawake wengi?

Kwanini na wanawake nao wasipate hiyo option ya kuwa na wanaume wengi ili kuharakisha zoezi zima la kuijaza dunia lifanyike kwa haraka?
Mkuu haya maswali alipaswa kuulizwa Mungu na sio lusekelo

Alichosema lusekelo ni kwamba mbona wakina Abraham na akina Suleman walikua na wake wengi? Kwanini sasa iwe dhambi ila ushoga ni rukhsa?
 
Kitu kinachotutafuna kwa sasa ni kuingia kwenye mtego wa ndoa ya mke mmoja.

Hata tamaduni zetu zenyewe zilidharau mwanaume mwenye mke Mmoja.

Zaidi Hakuna mahali biblia imesema tuoe mke mmoja au tuwe na mke mmoja.

Tuendelee kufungwa na sheria za kanisa ambazo tuliamini hazibadiliki ila kwa sasa zinaendelea kubadilika.
 
Back
Top Bottom