Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

Mzee wa Upako: Kuoa wake wengi sio dhambi, katazo ni propaganda

Hivi kuna mkristo mwenye akili kama mm anaweza kumsikiliza huyu mlevi

USSR
Mjibu point yake, Kama daudi alikuwa na wake zaidi ya mmoja, Hivyo Hivyo Suleimani, hivyohivyo Yakobo ambaye anaitwa Israel kwanini Leo mkatazwe kuoa mke zaidi ya mmoja?

Anglican huko England wanafungisha ndoa za jinsia moja!!
 
Yeye kama anataka kuoa wake wengi aoe tu! Lakini ndoa ni ya Mme mmoja na Mke Mmoja kama ilivyokuwa mwanzo,kama Yesu Kristo anavyosema,
Mathayo19:4-7
Mwanzo2:21-24
Kila mtu awe na Mke wake Mwenyewe na kila Mwanamke awe na Mme wake Mwenyewe,
(1Wakorintho7:1-4)
Yesu unaye muiga alikuwa na mke huyo mmoja au alizaa watoto wangap ww unamfuata mtu ambaye hata hakuwa na mke wala mtoto kweli utapeli mwingi
 
Shambulia hoja mkuu
Usimshambulie mtoa hoja

Kwanini Ibrahim haikua dhambi?
kwa ibrahimu mkewe sara alikuwa hazai na umri ulishakwenda akamruhusu azae na binti wake wa kazi ilimladi kizazi kiendelee,hata ivyo yule mke mdogo badae alifukuzwa na Sara mke wa Ibrahimu,
 
Yesu unaye muiga alikuwa na mke huyo mmoja au alizaa watoto wangap ww unamfuata mtu ambaye hata hakuwa na mke wala mtoto kweli utapeli mwingi
Mkuu kwani wanao muamini Mudi wanaoa idadi sawa na Mudi?

Theist mnamatatizo sana ya kufanya reasoning
 
Mkuu hujaelewa hoja yangu

Mzee wa upako anacho shangaa ni kwamba ni kwanini ushoga ambao hauruhusiwi kwenye Bibilia unapata baraka za kanisa halafu ndoa za wake wengi ambazo zipo kwenye Bibilia zinapingwa kwa nguvu kubwa?
Swali zuri
 
Kitu kinachotutafuna kwa sasa ni kuingia kwenye mtego wa ndoa ya mke mmoja.

Hata tamaduni zetu zenyewe zilidharau mwanaume mwenye mke Mmoja.

Zaidi Hakuna mahali biblia imesema tuoe mke mmoja au tuwe na mke mmoja.

Tuendelee kufungwa na sheria za kanisa ambazo tuliamini hazibadiliki ila kwa sasa zinaendelea kubadilika.
Kumbe zamani mwanaume mwenye mke mmoja alidharaulika

Duh
 
Back
Top Bottom