Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Ukiona mtu anashindwa kujibu hoja, ujue somo kalielewa bali ubishi tu unamsumbua. Somo alilotoa mzee wa upako limeeleweka kwa wakristo wengi.Mbona kaongea hoja nzuri na nzito mnashindwa kumjibu mnamtukana ebu jibuni hoja hio vizur
Mnapinga wake wengi afu mnaongoza kwa michepuko
Mwenyewe anawajua sana hawa watani zake- akasema kesho watanitupia mawe, ndio haya wanayotupa. Kwasababu alijua kuwa hawana hoja hao. Na hawawezi kupata popote penye kusimamia hoja zao.Inashangaza badala ya wachangiaji kujikita kwenye hoja,wanamjadili Lusekelo.
Wewe mbona hujatoa hayo maandiko?Tulitegemea atupe majibu mujarabu ya kimaandiko, mbona katuuliza maswali tena?
Polygamy ilikuwa dhambi zamani kama ilivyo dhambi sasa - hilo halijawahigi kubadilika.
The fact that it was a prevalent practice which was almost wholly acceptable even by those who were highly regarded by God, doesn't make it any less sinful.
SanaKumbe zamani mwanaume mwenye mke mmoja alidharaulika
Duh
Kumbe ndoa ya mke mmoja ni mtego[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mliooa mke mmoja toeni mawazo yenuKitu kinachotutafuna kwa sasa ni kuingia kwenye mtego wa ndoa ya mke mmoja.
Hata tamaduni zetu zenyewe zilidharau mwanaume mwenye mke Mmoja.
Zaidi Hakuna mahali biblia imesema tuoe mke mmoja au tuwe na mke mmoja.
Tuendelee kufungwa na sheria za kanisa ambazo tuliamini hazibadiliki ila kwa sasa zinaendelea kubadilika.
Pia aliwahi kusema Yes sio Mungu...unasemaje kuhusu Hilo?MTU aliyekengeuka ni hatari Sana kuliko asiyeamini kabisa
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu na mwanzo wa ndoa ya kwanza
Ndoa ni watu wawili tu tena mume na mke na si vinginevyo
Ndo maana Yesu alikuja kukamilisha yaliyokuwa yamepungua katika torati ya Musa
Na Musa alitabiri juu ya Yesu alisema Mungu atawainulia nabii Mwingine msikilizeni
5 Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii.
Marko 10:5
6 Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke.
Marko 10:6
7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;
Marko 10:7
8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
Marko 10:8
Kwasababu kawapiga kwenye mshono mbichi
Mwanaueme kapewa mamlaka ya kumiliki.l tofauti na mwanamkeKama mimi ningekuwa Mkristo basi ningem challenge hivi huyo Pastor.
Kama lengo la Mungu ni kuzaa ili kuijaza dunia, kwanini option ya kuwa na mwenza zaidi ya mmoja iwe fixed upande mmoja?
Kwanini iwe wanaume tu peke yao ndio wenye hiyo access ya kuwa na wanawake wengi?
Kwanini na wanawake nao wasipate hiyo option ya kuwa na wanaume wengi ili kuharakisha zoezi zima la kuijaza dunia lifanyike kwa haraka?