dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo
Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba
Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂