Mzee wa Upako na Dudu Baya mmelidharau bunge la Tanzania

Kwa nijuavyo mimi hakuna mtu mkweli kama hao unaowaita walevi au waraibu, they speak their minds wakati watu kama wewe wanaongea kwa kutumikia tumbo...
kwani waraibu na walevi wanaongeaga nini gentleman 🤣

ila hao ni victims wenye stage ya kuwapuuza tu, na actually kwani hiyo ndiyo kiki ya kwanza wanatafuta au walichokiibua ndicho kilichokufurahisha?

hii ndio ile kitu inasemwaga,

if you boycott or refuse to take part or associates yourselves in political administrations, don't blame to be ruled by a fool 🤣

you are celebrating and intartaining fools comments eee, one day they will rule and govern you 🤣
 
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia

Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hv yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo

Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba

Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Wabunge hawa!we unaona nan anaangalia Bunge sasa hivi?
we utakua hauna kitu kichwani au ni Chawa wa Tulia.
 
Kudeal na waraibu wa athari za vitu vikali vya kulevya sidhani kama inahitaji hata kubabaika nao na by the way hakuna haja kabisa kuwatilia maanani watu hao zaidi ya kuona namna ya kuwasaidia kisaikolojia 🐒
Kada hii ni Kama unakwepa mkuki kwa kufumba macho.
 
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia

Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hv yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo

Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba

Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Wameandaliwa kupoza mambo na kuleta balance ili ionekane mamlaka zinakubali kukosolewa
 
Je, wamesema uwongo au wamesema ukweli??
 
Mkusanyiko wa waheshimiwa tunaowalipa posho. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Unajua kwamba Tanzania ya leo sio ya jana wala ya kesho? Kuna maswali tutaulizwa na tutatakiwa kuwa na majibu. Times change
 
Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia

Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo

Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba

Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Kwani uongo? Hata likifutwa hakuna impact mbaya yeyote kwa nchi, sana sana tutaokoa mabilioni.
 
Binafsi mie sipotezi muda wangu, kutizama bunge la tanzaGIZA.

Kuhusu wasomi, shida sio mbunge sio msomi, shida uzalendo, nchi imeoza kila mmoja anafikiria kupiga kuliko maendeleo.
 
Safi sana wamesema ukwl na pia mawazo ya mtu ya heshimiwe

Back
Top Bottom