Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Kada sijaelewa hapa.intertain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kada sijaelewa hapa.intertain
Ilikuwa si mchezo,kila mtu anakaa kwenye TV analifatiliaPale mbona hamna bunge, hivi ulipata kuliona bunge la pius msekwa, samuel sitta au anna makinda kweli? Mabunge yale yalikua yanaisimamia serikali hili bunge la sasa la kuipongeza na kuipamba serikali hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayelitaka kulisikia
Sitta alikuwa moto wa kuotea mbali.Pale mbona hamna bunge, hivi ulipata kuliona bunge la pius msekwa, samuel sitta au anna makinda kweli? Mabunge yale yalikua yanaisimamia serikali hili bunge la sasa la kuipongeza na kuipamba serikali hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayelitaka kulisikia
mtu asiyelidharau bunge naye anapswa kudharauliwaLeo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo
Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba
Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Wakwa hiyo washikwe kwa kutoa maoni yao????Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo
Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba
Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Nakazia..... 🙂 🙂Kwa nijuavyo mimi hakuna mtu mkweli kama hao unaowaita walevi au waraibu, they speak their minds wakati watu kama wewe wanaongea kwa kutumikia tumbo...
hawajaongea uongo kuhusu huo muhili ambao haujitegemei,bunge letu n dhaifuLeo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo
Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba
Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
Wako sahihi wana haki ya kutoa maoni yao....Bunge la sasa ni GENGE LA WAHUNI WANAOJALI MIFUMO YAO YA KWENDA HAJA KUBWA...🙂🙂🙂Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia
Mzee wa upako yeye alifika mbali kwa ssa hivi yeye hawezi kupoteza muda wake kulitazama bunge hili , kwani wabunge waliopo hawajui lolote na "mawazo yao ni yale yale akitoka haPa anaishi hapa so hakuna kitu" alisema mzee wa upako. Alifika mbali akasema wazi wazi kuwa bunge alilokuwa analitizama ni la spika Samuel sita na ana makinda alisema llikuwa bunge La viwango na kasi na kulikuwa hakuna kutekana hvyo
Yeye dudu baya ameamka asbh na kisha kuanza kuwashambulia wa bunge wenye elimu ndogo ya darasa la saba akisema hawana wajualo akitaka ifike mahali wafukuzwe au liundwe bunge La seneti lenye wabunge wasomi wote hasa wanasheria na wa nao juwa katiba
Kwa kauli hzo ni kwamba wamelidharau muhimili mwingine wa dola na hvyo wakamatwe wahojiwe kwenye kamati ya maadili na madarak ya bunge ni dharau Kubw sana wameonesha kwa spika na waziri mkuu na Mawaziri wote, spika tulia ni kiongozi wa mabunge yote duniani 😂😂😂
BUNGE NI GENGE LA WAHUNI....KULA BIA....CHOMA NYAMA...NA KUPIGANA MIKASI..kama kupita kwenye kura wameanza wenyewe kukiri dhambi zao kwamba walikuwa wanaiba kura...sasa hapo kuna akili ipo bungeni pale? au kuna kundi la majambazi?
Alichofharau ni kipi hapo!!??Leo sijui kumetokea nn kwenye mitandao Ya kijamii yaani clipu fupi fupi za mzee wa upako na dudu baya wakitema nyongo zao juu ya bunge hili la spika Tulia