Mzee wa Upako na Dudu Baya mmelidharau bunge la Tanzania

Kwa nijuavyo mimi hakuna mtu mkweli kama hao unaowaita walevi au waraibu, they speak their minds wakati watu kama wewe wanaongea kwa kutumikia tumbo...
kwani waraibu na walevi wanaongeaga nini gentleman 🀣

ila hao ni victims wenye stage ya kuwapuuza tu, na actually kwani hiyo ndiyo kiki ya kwanza wanatafuta au walichokiibua ndicho kilichokufurahisha?

hii ndio ile kitu inasemwaga,

if you boycott or refuse to take part or associates yourselves in political administrations, don't blame to be ruled by a fool 🀣

you are celebrating and intartaining fools comments eee, one day they will rule and govern you 🀣
 
Wabunge hawa!we unaona nan anaangalia Bunge sasa hivi?
we utakua hauna kitu kichwani au ni Chawa wa Tulia.
 
Kudeal na waraibu wa athari za vitu vikali vya kulevya sidhani kama inahitaji hata kubabaika nao na by the way hakuna haja kabisa kuwatilia maanani watu hao zaidi ya kuona namna ya kuwasaidia kisaikolojia πŸ’
Kada hii ni Kama unakwepa mkuki kwa kufumba macho.
 
Wameandaliwa kupoza mambo na kuleta balance ili ionekane mamlaka zinakubali kukosolewa
 
Je, wamesema uwongo au wamesema ukweli??
 

Mkusanyiko wa waheshimiwa tunaowalipa posho. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣

Unajua kwamba Tanzania ya leo sio ya jana wala ya kesho? Kuna maswali tutaulizwa na tutatakiwa kuwa na majibu. Times change
 
Kwani uongo? Hata likifutwa hakuna impact mbaya yeyote kwa nchi, sana sana tutaokoa mabilioni.
 
Binafsi mie sipotezi muda wangu, kutizama bunge la tanzaGIZA.

Kuhusu wasomi, shida sio mbunge sio msomi, shida uzalendo, nchi imeoza kila mmoja anafikiria kupiga kuliko maendeleo.
 
Safi sana wamesema ukwl na pia mawazo ya mtu ya heshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…