Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unaopinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mbaya, mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
 
Hivi mzee wa upako ana elimu gani?

Asema Iko kwenye Hansard mbinguni na duniani. 🤣🤣

Zawadini mengine haya.ni burudani panapo fyongo kupasema si dhambi bila kujali jiwe gizani litamwangukia nani.

Dp world si udini, ukanda, uchama, jinsia nk.

Hili ni elimu .. tuelimishane badala ya kuchukiana.
 
Ni kweli DP World si udini ila kwanini kunatajwa dini?
 
Back
Top Bottom