MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Huyu ni mjinga na hujifanya mwerevu! Yeye amehubiri siasa madhabahuni mara ngapi? Video zake zimejaa mitandaoni. Nimemsikiliza na kuishia kumuona mganga njaa anayetafuta kila fursa aonekane ana impact.
Kwa taarifa yake, ule waraka ujumbe umefika kikamilifu! Taasisi gani ingesema isikike kama TEC? Maaskofu hawatajibu mtu ila wanafuatilia yanayoendelea ...
Kwa taarifa yake, ule waraka ujumbe umefika kikamilifu! Taasisi gani ingesema isikike kama TEC? Maaskofu hawatajibu mtu ila wanafuatilia yanayoendelea ...