Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

View attachment 2725036

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Si na yeye atoe wa kwake
 
Nchi hii ni ya amani...

Pamoja na kuwashangaa maaskofu wetu wa TEC katika kupinga mkataba huu ila bado watabaki kuwa viongozi wetu adhimu wa kuheshimiwa haswa na pia ni watanzania wenzetu..

Wamepotoka katika hilo la mkataba na DP WORLD mengine huwa wanapatia na wataendea kupatia[emoji120]

Yahweh aendelee kuwaongezea busara maaskofu wetu wa TEC ,aamen [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]

#DoNotDoHarm[emoji120]
Hawajapotoka kwenye waraka.

Wamrsema kile kinachoepukwa na watawsla kuzungumzwa
 
Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

View attachment 2725036

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
 
"Mzee wa Upako" yeye kama yeye ni taasisi.akikamatwa AU kufungiwa ndio mwisho wa huduma Yake.Roman Catholic hata ukikamata maaskofu nchi nzima huwezi kuifuta nchini.Salama ya Mzee wa Upako aendelee kudumu ni kuwa upande wa serikali Hata kama hawapo sahihi 🤔
 
Bandari Sio ya waislamu Wala Wakristo Nashangaa hizi akili za udini mnatoa wapi
 
Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naonge mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye ansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo ya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unapinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mibaya mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

View attachment 2725036

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Mzee wa k-vant na konyagi.
 
Nahisi Kalewa huyu au ananyemelewa na mental disturbances! Kwani Mzee wa upako anauzungumziaje mkataba?? Nona yupo njee kabisa ya maada. Mambo ya kurusha jiwe gizani sijui! Mambo ya kujimwambafai eti ni mwanazuoni mbobevu, eti sijui watu wanamtenga kwakuwa ni mlevi!! Whaat an idiot!!. Naona analenga chuki zake bayaana kwa wakatoliki ktk areas za wingi na ukubwa na mambo kibao yasiyo na tija. Takataka. Ila ni haki yake kuongea kikatiba,
 
Back
Top Bottom