Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumetoka zama za uoga tumeingia katika unafiki na kujikomba kombauchawa ni tatizo kuliko hata mafisadi nchini kwa sasa
Serikali (katiba) ya Tanzania haijakubali ushogaMnajing'atang'ata tu mnapoambiwa kukemea ushoga kwa nguvu zote. TEC inashindwa nini kujitokeza hadharani kupinga ushoga na kuishinikiza serikali nayo ijitokeze waziwazi kupinga kama alivyofanya Museven. Mnaogopa nini
Hukunielewakwani wapi imeandikwa kanisa linahukumu
Je ni lini serikali ilikataa ushoga hadharani au mbele ya vyombo vya habari, jiulizwe ni kwanini Serikali inakaa kimya kuonyesha inasimamia wapi(kukataa au kukubali), ni kwanini inakwepa kutoa tamko hadharani. Unakumbuka hata alipokuja yule Mama Makamu wa Rais wa Marekani uliona jinsi walivyoepuka Maswali ya wanahabari, hawakutoa nafasi ya Maswali na kubwa zaidi ni kukwepa Maswali yanayolenga msimamo wa serikali juu ya mambo hayo.Serikali (katiba) ya Tanzania haijakubali ushoga.
Na Serikali haija onesha dalili za kutaka kupeleka mswada bungeni ili turekebishe sheria zinazopingana na ushoga.
Kwann unataka TEC watoe tamko kuhusu ushoga?Je ni lini serikali ilikataa ushoga hadharani au mbele ya vyombo vya habari, jiulizwe ni kwanini Serikali inakaa kimya kuonyesha inasimamia wapi(kukataa au kukubali), ni kwanini inakwepa kutoa tamko hadharani. Unakumbuka hata alipokuja yule Mama Makamu wa Rais wa Marekani uliona jinsi walivyoepuka Maswali ya wanahabari, hawakutoa nafasi ya Maswali na kubwa zaidi ni kukwepa Maswali yanayolenga msimamo wa serikali juu ya mambo hayo.
Tafsiri ya kukwepa kuonyesha msimamo tayari NI JIBU TOSHA.
HIVYO NAO TEC KWANINI WASIONYESHE MSIMAMO WA KANISA WAZIWAZI KUHUSU MAMBO HAYO YANAYOSHINIKIZWA NA WAZUNGU TUYAKUBALI
Ni kweli DP World si udini ila kwanini kunatajwa dini?
Konyagi inaongea......Kwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unaopinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mbaya, mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Mmesahau chadema kwenye hoja zao ndio walianza kueka udini apo walibugi mnoo
Issue ya bandari ilikua wote wanapiga kelele ila walipoanza kutoa kauli za udini hapo hapo seeikali nayo ikapata chance ya kutokea
Darasa la Saba B failureHivi mzee wa upako ana elimu gani?
Hahaha 🤣🤣Zile za hapa na pale
Hapa alikua amekatia kile kischana 👍🤓🤓
Kama taasisi ya dini ambayo jukumu lake la msingi ni Mambo ya Kiroho na kuishi maisha yenye kumpendeza Mungu. Je, kati ya DP World na Ushoga ni kipi kingekuwa cha kwanza kukemea HADHARANI.Kwann unataka TEC watoe tamko kuhusu ushoga?
Kwann sio BAKWATA au madhehebu mengine?
Acha kurukaruka tuambie ubaya wa kilichoandikwa kwenye waraka wa TEC. Hatuhitaji hisia zako.
Mipango mibovu na kuwanyonya wananchi ikidhofishwa kuna shida ganiKwa hakika haupo udini hapa!
Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."
Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unaopinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mbaya, mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"
View attachment 2725036
Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
kwani kasema kazi ya kanisa ni kuhukumu ??Kazi ya kanisa ni kuonya mabaya sio kuhukumu