Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Formation of Priests


The journey toward the priesthood is long and difficult, requiring many years of training. If we take the educational journey of one boy to priesthood in Tanzania today, this is how his journey will be:

1. 1-2 years kindergarten

2. 7 years primary education (grade school)


3. 6 years Minor seminary or secondary school English system is comprised of 4 years

4. Ordinary level and 2 years Advanced level. The Moshi Diocese minor seminary is St.

5. James Minor Seminary in Kilema, Moshi.


6. One year spiritual formation prior to entering the major seminary:St. Charles Lwanga-Karanga

7. Formation Center.


3 years studying philosophy, psychology, scriptures, spirituality, and liturgy Our Lady of the Angels Major Seminary - Kibosho, Moshi Diocese St. Anthony Major Seminary - Ntungamo, Bukoba Diocese

8. 4 years studying TheologySt. Paul Major Seminary - Kipalapala, Tabora RegionSt. Charles Lwanga Major Seminary - Segerea, Dar Es Salaam ArchdioceseSt. Augustine of HIppo Major Seminary - Songea Region

9. One year pastoral internship or field work which includes Ordination as Deacon six months prior to the end of seminary training

Ordination to the Roman Catholic Priesthood!!

Vinavyoelea vimeundwa ..
 
IMG-20230822-WA0088.jpg
 
Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unaopinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mbaya, mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

View attachment 2725036

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.
Mipango ya kuuza nchi ikizuiwa kuna ubaya gani? Chizi sana hili jamaa
 
Na hawa Jee wanaobanduana , milango ya geti iko wazi ??

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
Hapo sasa waulize wanao bandua na kubanduliwa.............
 
Yani hata wawalete kina nani, sisi tuko na TEC.
Huyu ni mlevi wa pombe kali sugu. Sijuinhata hao waumini wake wana nini sehemu inayostahili kuwa na ubongo.
Kuna siku alitoa mahubiri eti alienda mwananyamala hospital wakamkuta na TB akafanya maombi akapona. Tapeli levi sugu hili. Hapo anakula kunde kashayakanyaga.
 
Katika kila kundi ,iwe makanisani,podapoda,katika vyama vya siasa,misikitini,wafanya biashara,vyuoni,wakulima,wanafunzi,waalimu,madereva,waandishi wahabari,wanamziki,wasanii and e.t.c wapo ambayo wanatumika kama state agents .Mission yao kubwa ni kusupport the government of the day pale ambapo kundi husika linapoikosoa serikali huu ya jambo flani,wao wataibuka na kujidai wanalaani kilichofanyika na kwamba huo sio msimamo wao. ili Ku destabilise situation .
 
Katika kila kundi ,iwe makanisani,podapoda,katika vyama vya siasa,misikitini,wafanya biashara,vyuoni,wakulima,wanafunzi,waalimu,madereva,waandishi wahabari,wanamziki,wasanii and e.t.c wapo ambayo wanatumika kama state agents .Mission yao kubwa ni kusupport the government of the day pale ambapo kundi husika linapoikosoa serikali huu ya jambo flani,wao wataibuka na kujidai wanalaani kilichofanyika na kwamba huo sio msimamo wao. ili Ku destabilise situation .

Kutambua uwepo wa kundi dogo Hilo ni hatua njema sana kuelekea ukombozi kamili.

Katika kundi hilo.haya humu JF wamo.
 
Hapo sasa waulize wanao bandua na kubanduliwa.............
.

Pope Francis says laws criminalising LGBT people are a 'sin' and an injustice​

By Philip Pullella
February 6, 20234:15 PM GMT+1Updated 7 months ago


ABOARD THE PAPAL PLANE, Feb 5 (Reuters) - Pope Francis said on Sunday that laws criminalising LGBT people are a sin and an injustice because God loves and accompanies people with same-sex attraction.

Francis, who made his remarks in response to a reporter's question aboard the plane returning from a two-country trip to Africa, received full backing of his comments from two other Christian leaders on the plane with him.

"The criminalisation of homosexuality is a problem that cannot be ignored," said Francis, who then cited unnamed statistics according to which 50 countries criminalise LGBT people "in one way or another" and about 10 others have laws including the death penalty for them.
 
Mzee wa upako hana sifa ya kuchallenge waraka wa TEC....
Eleza kati ya Ushoga na Bandari lipi ni tatizo kubwa na ni lipi ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Ni kwanini TEC hawatoi waraka kupinga Ushoga?!.

Jibu ni kwamba HAWARAKI KUWAUDHI WAZUNGU AMBAO NDIO WAFADHILI WAO.
NA NDIO HUU UNAFIKI TUNAOUZUNGUMZIA
 
Eleza kati ya Ushoga na Bandari lipi ni tatizo kubwa na ni lipi ni chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Ni kwanini TEC hawatoi waraka kupinga Ushoga?!.

Jibu ni kwamba HAWARAKI KUWAUDHI WAZUNGU AMBAO NDIO WAFADHILI WAO.
NA NDIO HUU UNAFIKI TUNAOUZUNGUMZIA

Ushoga unaongelewa kila siku makanisani kuwa ni dhambi kama ilivyo kwa zingine zote.

Ina maana ulitaka waraka kwa kila dhambi ndugu?

Kumbuka mkataba wa DP World siyo dhambi.

Ila kumbuka kwenye corona na jiwe kulipita waraka kama huu.

Hapo utajiridhisha jukumu la nyaraka kama hIzi mamlaka zikiziba masikio.
 
Back
Top Bottom