Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Mzee wa Upako: Waraka wa TEC unadhoofisha mipango ya Serikali, haijalishi mipango hiyo ni mizuri au mibaya

Huyu kama mwezi mchanga, Kuna wakati anaongea point, lakini Kwa hili la mkataba hayuko sawa. TEC waraka wao hauzungumzii dini, unazungumzia rasilimali zetu za Taifa kukabidhiwa wageni haiko sawa. Bandari ni geti la nyumba, huwezi kumkabidhi geti la nyumba mgeni akulindie, halafu ukija awe na maamuzi ya kukufungulia au la ukae nje, hapo Sasa ni kwako? Waraka wa TEC upo sawa na umewatoa nyoka wengi pangoni.
Hawa wamefuatwa na wapambe wa mwarabu na kuombwa wapinge. Ni wajinga sana hawa watu. Wanadhani watafanya wakristo waonekane wanapingana. Hawajui kuwa hili linazidi kufanya serikali iwe kwenye hali mbaya.
 
Kwa hakika haupo udini hapa!

Amesema "Naongea mambo ya moyoni sikurupuki, sijakurupuka. Haya ninayoongea yatabaki kwenye hansadi mbele za Mungu na katika historia ya nchi hii."

Ameongeza "Wanalalamika kuwa tumetoa Waraka na haujasomwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa. Nani atasoma waraka unaopinga Serikali? Waraka unadalilisha, unadhoofisha mipango ya Serikali. Mimi sizungumzii kama ni mizuri au mbaya, mambo ya mizuri au mibaya tumewaachia CHADEMA, CUF na TPL na Mwambukusi, wataongea Siasa zao huko"

View attachment 2725036

Hiiiiiii bagosha! -- akipenda kusema JPM rip.

Vipande vya pesa
 
Ignore these stupid self-proclaimed bishops!
 
Mzee wa bapa, watu wengine kabla ya kuongea wanatakiwa wapimwe kilevi....mtu kashapiga konyagi zake anaenda press conference
 
Binafsi nimekubali hoja moja ya Mzee wa Upako. Je ni kwanini TEC hawajawahi kuandaa waraka wa kupinga Masuala ya ushoga duniani?? Kama hawajawahi kupinga hadharani Masuala ya ushoga basi tutawatathimini kwamba wameamua kuyapa kipaumbeli Mambo ya Kimwili kuliko yale ya Kiroho.
BINAFSI SINA SHIDA KWA TAMKO, LAKINI KUHUSU YALE YANAYOMCHUKIZA MWENYEZI MUNGU AMBAYO SERIKALI KUBWA DUNIANI ZINATAKA KILA NCHI IHALALISHE NADHANI HAPA TEC WANGEANDAA WARAKA KUPINGA UCHUFU HUU. JE NI KWANINI HAWAKUWAHI KUFANYA HIVYO???
Wana upenda ndiyo maana hawapingi.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mnao mfata huyu jamaa .......mbinguni mnaweza kufika lakini mkaishia Getini.........huyu mnafiki sana............ndio maana kagame Alifuta hizi saccos
 
Huyu mzeee Ni mjinga snaa sijui wqtu wanaendaje kwake kusali
 
Mapadre ni wanasheria... canon Law wanasoma ab many other law disciplines! Kumbe tunabishana na darasa la saba
Sheria za mapadri wazitumie kanisani
Mambo ya serikali waiachie serikali
 
Kwa mnao mfata huyu jamaa .......mbinguni mnaweza kufika lakini mkaishia Getini.........huyu mnafiki sana............ndio maana kagame Alifuta hizi saccos
Na hawa Jee wanaobanduana , milango ya geti iko wazi ??

In the book, "The Changing Face of the Priesthood," the Rev. Donald B. Cozzens suggests that the priesthood is, or is becoming, a gay profession
 
Uliwasomesha wewe ??
Formation of Priests

The journey toward the priesthood is long and difficult, requiring many years of training. If we take the educational journey of one boy to priesthood in Tanzania today, this is how his journey will be:

1. 1-2 years kindergarten

2. 7 years primary education (grade school)

3. 6 years Minor seminary or secondary school English system is comprised of 4 years

4. Ordinary level and 2 years Advanced level. The Moshi Diocese minor seminary is St.

5. James Minor Seminary in Kilema, Moshi.

6. One year spiritual formation prior to entering the major seminary:St. Charles Lwanga-Karanga

7. Formation Center.

3 years studying philosophy, psychology, scriptures, spirituality, and liturgy Our Lady of the Angels Major Seminary - Kibosho, Moshi Diocese St. Anthony Major Seminary - Ntungamo, Bukoba Diocese

8. 4 years studying TheologySt. Paul Major Seminary - Kipalapala, Tabora RegionSt. Charles Lwanga Major Seminary - Segerea, Dar Es Salaam ArchdioceseSt. Augustine of HIppo Major Seminary - Songea Region

9. One year pastoral internship or field work which includes Ordination as Deacon six months prior to the end of seminary training

Ordination to the Roman Catholic Priesthood!!
 
Back
Top Bottom