babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Miaka hiyo Diamond Jubillee,mzee mmoja alikuja na kamba ya ngombe km zawadi Ya harusi
Kijana wake alikua kachukua tu PHD UK anaoa.
wazazi wa binti wakaja na funguo za kutosha za magari,nyumba,kila kitu.
Aibu niliona mimi,
Umaskini mbaya sana
Nafkiri haikudumu ile ndoa.
Kijana wake alikua kachukua tu PHD UK anaoa.
wazazi wa binti wakaja na funguo za kutosha za magari,nyumba,kila kitu.
Aibu niliona mimi,
Umaskini mbaya sana
Nafkiri haikudumu ile ndoa.