Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bongo hakuna fursa nyingi za kuwekeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani kama mtu anakaribia kustaafu alafu eti ndio anauliza afanye nini, hakika hakika hakika hawezi kufanya jambo la maamda kamwe. Alafu huyo atakua mwalimuSalamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini ameniomba nimsaidie namna ya kuwekeza fedha zake kwa ajili ya kufurahia uzee wake.
Sasa mimi cha kwanza kabla ya mengine ninachotamani ni kwamba mzee awekeze fedha zake benki ili ikiwezekana kila mwisho wa mwezi awe kama anapokea mshahara wa kati ya 500,000-700,000 za kitanzania huku ile hela yake aliyohifadhi ikibaki kuwa dhamana yake katika uwekezaji na akiitaka aichukue muda wowote ule.
Nimefatalia kwa umakini sana humu JF uwekezaji wa namna hii mfano, hisa, UTT, fixed account n.k. lakini bado sijapata kile ninachokifikiria kuwa afungue tu akaunti awekeze hela huko kisha kila mwezi awe anavuna kiasi tajwa hapo juu. Sasa maswali yangu ni haya hapa chini.
i. Je Kuna uwezekano wa kupata akaunti ya kuwekeza labda tuseme milioni 20 au 30 za kitanzania na mtu akapata mavuno ya laki 5 Kila mwezi?
ii. Kama ni ndio je ni kiasi gani kinaweza kuleta mavuno ya laki 5 kama jibu ni sio je ni akaunti gani naweza kuwekeza angalau kupata kiasi kizuri kwa mzee kwa kila mwezi?
iii. Je ni benki gani nzuri itafaa Kwa uwekezaji huo kwa ajili ya mzee?
N.B: Kumbuka sitamani uwekezaji mwingine zaidi ya huo hapo juu. naomba ushauri ujikite katika muongozo huo. Natanguliza shukrani zangu.
Soma Ushauri kwa wastaafu na wanaopata hela nyingi kwa mkupuo
Mkuu siyo kila mtu anaweza kuwekeza mapema. Kuna sababu nyingi zinazofanya mtu asiweze.Hatari sana aisee
Yaani mtu anastaafu ndio anaanza kufikiria kuwekeza inatisha sana duh
Siyo kila mtu anaweza kuwekeza akiwa kazini.Kosa limeshafanyika tayari. Uwekezaji huwa unafanywa mtu akiwa kazini, akiwa na nguvu na kujifunza, baada ya kustaafu ni ufatiliaji mdogo tu sana sana na kuongeza mtaji. Unaposema mzee wako awekeze saa hizi ni uongo.
Shida ya wastaafu wengi huwa wanataka akipata kiinua mgongo ndo awekeze, this is not right. Na bahati mbaya wanaowadanganya wastaafu wengi ni watoto wao, au ndugu na kimsingi ndio wanaotaka kutoka kwa kupitia hicho kiinua mgongo.
We jamaa uliyeandika hapa, tafuta kazi ya kufanya achana na hela za huyo mzee. Huyo mzee anahitaji counseling tu ili hizo hela zake azile Pole Pole hadi atakapokufa. Mwacheni huyo mzee na hela zake tafuteni zenu. Mtu kapambana kajifanyia kazi zake miaka 30+ anastaafu mnaibuka mnataka kuanza kumshauri namna ya kuishi na namna ya kutumia hela zake.
Hela ya kustaafu ni hela ya kujikimu sio ya uwekezaji. Inaaminika mtu anapostaafu ameshamaliza kusomesha, ameshamaliza kujenga pa kuishi so hela yake ni ya kula tu.
Sawa hata government Bond ni nzuri maana ni risk free ,pesa yako iko palepale na gawio hata itokee nini. Unaweza tembelea pia tovuti ya Bot kwa maelezo zaidi ila riba ndio hiyo 10% kwa mwaka.Asante sana mkuu nimekupata vema kabisa. Nadhani nitaliangalia na kulichunguza vema kabisa.
Hakika inashangaza na kusikitisha kwa pamoja. (We jamaa kumbe hua unacomment pia nilijua wewe unalike tu ?).Hatari sana aisee
Yaani mtu anastaafu ndio anaanza kufikiria kuwekeza inatisha sana duh
Hongera mkuu yuko mkoa gani ? Kama inawezekana ajenge vijumba 3 ....ajibane haswaa ili aweze kukodisha 200k mwezi .....kama ana kiwanja hapo home au pembeni....kama hana ...aangalie bei kiwanja kama ita balance basi hata vijumba 2 vyumba 2 each inatosha ....apate laki 5 mwezi....akishindwa akipata 50m aweke UTT....apate 500k mweziSalamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini ameniomba nimsaidie namna ya kuwekeza fedha zake kwa ajili ya kufurahia uzee wake.
Sasa mimi cha kwanza kabla ya mengine ninachotamani ni kwamba mzee awekeze fedha zake benki ili ikiwezekana kila mwisho wa mwezi awe kama anapokea mshahara wa kati ya 500,000-700,000 za kitanzania huku ile hela yake aliyohifadhi ikibaki kuwa dhamana yake katika uwekezaji na akiitaka aichukue muda wowote ule.
Nimefatalia kwa umakini sana humu JF uwekezaji wa namna hii mfano, hisa, UTT, fixed account n.k. lakini bado sijapata kile ninachokifikiria kuwa afungue tu akaunti awekeze hela huko kisha kila mwezi awe anavuna kiasi tajwa hapo juu. Sasa maswali yangu ni haya hapa chini.
i. Je Kuna uwezekano wa kupata akaunti ya kuwekeza labda tuseme milioni 20 au 30 za kitanzania na mtu akapata mavuno ya laki 5 Kila mwezi?
ii. Kama ni ndio je ni kiasi gani kinaweza kuleta mavuno ya laki 5 kama jibu ni sio je ni akaunti gani naweza kuwekeza angalau kupata kiasi kizuri kwa mzee kwa kila mwezi?
iii. Je ni benki gani nzuri itafaa Kwa uwekezaji huo kwa ajili ya mzee?
N.B: Kumbuka sitamani uwekezaji mwingine zaidi ya huo hapo juu. naomba ushauri ujikite katika muongozo huo. Natanguliza shukrani zangu.
Soma Ushauri kwa wastaafu na wanaopata hela nyingi kwa mkupuo
Subiri wabobezi lakini kuna bond za UTT na BoT unaweka mfano 50mil miaka 10....kila mwaka wqtakupa 10%.....means mwezi 500k...kama huchukui baada miaka 10 unakuwa na 100m.....Mkuu naomba maelezo kuhusu bond kidogo. Samahani lakini
Umemaliza mkuu, sina haja ya ku comment tena.Nyumba za kupanga na frem ndio biashara za wastaafu
lete connection tukabebe boxSasa hapa ndio inakuja tofauti ya wala vumbi na wabeba mabox, mbeba mabox akistaafu akiamua kuja kujikalia bongo tu bila uwekezaji wowote pesa ya chini sana kuvuta kila mwezi ni 3m. zinaingia zinatulia kwa account. Akiwa na apartments zake kapangisha uhakika wa 10m kwa mwezi rahisi. 😂 😂 😂
Nendeni UTT AMIS Kule mtaweza kupata maelekezo mazuri ya kuwasaidia.Salamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini ameniomba nimsaidie namna ya kuwekeza fedha zake kwa ajili ya kufurahia uzee wake.
Sasa mimi cha kwanza kabla ya mengine ninachotamani ni kwamba mzee awekeze fedha zake benki ili ikiwezekana kila mwisho wa mwezi awe kama anapokea mshahara wa kati ya 500,000-700,000 za kitanzania huku ile hela yake aliyohifadhi ikibaki kuwa dhamana yake katika uwekezaji na akiitaka aichukue muda wowote ule.
Nimefatalia kwa umakini sana humu JF uwekezaji wa namna hii mfano, hisa, UTT, fixed account n.k. lakini bado sijapata kile ninachokifikiria kuwa afungue tu akaunti awekeze hela huko kisha kila mwezi awe anavuna kiasi tajwa hapo juu. Sasa maswali yangu ni haya hapa chini.
i. Je Kuna uwezekano wa kupata akaunti ya kuwekeza labda tuseme milioni 20 au 30 za kitanzania na mtu akapata mavuno ya laki 5 Kila mwezi?
ii. Kama ni ndio je ni kiasi gani kinaweza kuleta mavuno ya laki 5 kama jibu ni sio je ni akaunti gani naweza kuwekeza angalau kupata kiasi kizuri kwa mzee kwa kila mwezi?
iii. Je ni benki gani nzuri itafaa Kwa uwekezaji huo kwa ajili ya mzee?
N.B: Kumbuka sitamani uwekezaji mwingine zaidi ya huo hapo juu. naomba ushauri ujikite katika muongozo huo. Natanguliza shukrani zangu.
Soma Ushauri kwa wastaafu na wanaopata hela nyingi kwa mkupuo
Hizi huwa tunajenga kabla ya kustaafu.Nyumba za kupanga na frem ndio biashara za wastaafu
Kama hakufanya biashara ujanani aachane na hio kitu
Hadi SAS HV nimechungulia hawajajitokezaNashukuru Uzi mpaka saizi haujaingiliwa na wazee wa kubeti
Basi kiinua mgongo sio kazi yake kuwekeza.Siyo kila mtu anaweza kuwekeza akiwa kazini.