Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

yani kama mtu anakaribia kustaafu alafu eti ndio anauliza afanye nini, hakika hakika hakika hawezi kufanya jambo la maamda kamwe. Alafu huyo atakua mwalimu
 
Siyo kila mtu anaweza kuwekeza akiwa kazini.
 
Asante sana mkuu nimekupata vema kabisa. Nadhani nitaliangalia na kulichunguza vema kabisa.
Sawa hata government Bond ni nzuri maana ni risk free ,pesa yako iko palepale na gawio hata itokee nini. Unaweza tembelea pia tovuti ya Bot kwa maelezo zaidi ila riba ndio hiyo 10% kwa mwaka.

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Achana na UTT, achana na Fixed account, awekeze hela zake kwenye Bond atulie. Atapata hela kila baada ya miezi 6 lakini ni uhakika. Faida ni 10 to 12% kabla ya kodi
Mkuu naomba maelezo kuhusu bond kidogo. Samahani lakini
 
Hongera mkuu yuko mkoa gani ? Kama inawezekana ajenge vijumba 3 ....ajibane haswaa ili aweze kukodisha 200k mwezi .....kama ana kiwanja hapo home au pembeni....kama hana ...aangalie bei kiwanja kama ita balance basi hata vijumba 2 vyumba 2 each inatosha ....apate laki 5 mwezi....akishindwa akipata 50m aweke UTT....apate 500k mwezi
 
Mkuu naomba maelezo kuhusu bond kidogo. Samahani lakini
Subiri wabobezi lakini kuna bond za UTT na BoT unaweka mfano 50mil miaka 10....kila mwaka wqtakupa 10%.....means mwezi 500k...kama huchukui baada miaka 10 unakuwa na 100m.....
 
lete connection tukabebe box
 
Nendeni UTT AMIS Kule mtaweza kupata maelekezo mazuri ya kuwasaidia.
 
Kama mnaishi dodoma fanya him ununue kiwanja maeneo ya nzuguni Kisha Jenga lodge yako tuliaa kila siku lzm uingeze elf 50000 had 60000 lzm maisha yabadilike
 
Simple, Easy with very minimal risk ni kuwekeza UTT (Hati fungani) lakini kwa mtaji wa 20m hawezi kupata zaidi ya 180k kwa mwezi. Binafsi ningemshauri hicho.

Note: Kadri atakavyotaka kuwekeza pesa kidogo huku akitaka faida kubwa kwa muda mfupi ndivyo hatari ya pesa yake kupotea inazidi kuongezeka and Vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…