fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Huyo keshafeli..labda ajenge nyumba apangishe nje ya hapo akipiga loss kidogo presha inamuondoa duniani.Hatari sana aisee
Yaani mtu anastaafu ndio anaanza kufikiria kuwekeza inatisha sana duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo keshafeli..labda ajenge nyumba apangishe nje ya hapo akipiga loss kidogo presha inamuondoa duniani.Hatari sana aisee
Yaani mtu anastaafu ndio anaanza kufikiria kuwekeza inatisha sana duh
Kwa kweli upande wangu nimefanya utafiti sana kuhusu mifugoMkuu hili wazo pia zuri. Ngoja nitafakari pia. Lakini huoni kuwa ufugaji pia una changamoto zake za kutosha? Vipi changamoto za usimamizi wa hiyo mifugo? Malisho ya mifugo usimamizi ukoje ukizingatia hulka ya vijana wa leo katika utendaji kazi wao? Vipi mlipuko wa magonjwa kwa mifugo ikianza?.Mkuu huoni anaweza kupata presha za ajabu ajabu?
Nimekuelewa sana mkuu. Ngoja nimshirikishe mzee nione kama kuna kitu atasema. Japo mimi nimeliona ni wazo zuri ukizingatia kuwa mshua mambo ya kilimo anayawezea sana na amekuwa akifanya muda mrefu. Kwa wazo hili naona mzee akipata eneo akatulia mwenyewe akawa analima huku anafuga anaweza kufanya jambo zuri na kubwa sana. Mkuu nashukuru sana Kwa kuniondoa wasiwasi nadhani nitakupa mrejesho.Kwa kweli uoande wangu nimefanya utafiti sana kuhusu mifugo
Kwanza hao mifugo lazima wawe wamewekewa uzio na wanakula humo humo ila sio zero grazing bali wanakuwa wanatoka na kuzunguka humo humo
Kila kitu kina changamoto zake nafikiri mimi naweza kuwa na umri sawa na mshua ila plan yangu ndio hii
Kupata wafanyakazi wanaolala hapo hapo wapo na madokta wa mifugo wapo wengi ambao naweza kuwalipa kwa mwezi na wakawa wanakuja kuangalia mifugo kila wakati
Kuhusu kufa na maradhi kwa mifugo kama mbuzi ni ngumu hata kuku pia maana ukiwaangalia kwa umakini na kuzuia watu kuingia wakiwa wametoka kwenye mifugo mingine hilo ni hatari sana
Kwa kudhibiti hilo kuna wellington boots [emoji152] unaweka pa kuingilia na wanavaa hivyo
Labda kwq kuwa unawasi wasi tu na ni kawaida kwa binadamu kuwa na shaka ila kumbuka kuna wafugaji wengi sana ambao ni wastaafu
Jaribu kuangalia YouTube utaona tena wazee wa kiswahili wengi tu na hata wengine walioacha kabla ya uzee na kuamua kujikita kwenye ufugaji
Kama una ekari 50 au Mia hapo utalima mazao ya chakula na majani ya mifugo pia
Sio kazi ngumu kama unavyoiona na kila kitu kinakuwa kigumu kama huna hela mkuu
Ila lilikuwa ni wazo tu usilifikirie sana
Nashukuru sana mkuu Kwa kuelewa lengo langu kuu. Hoja ni kuwa aweke fedha hizo wapi ili awe anakula pole pole na sio kuwekeza. Nadhani wajumbe wengi wameshindwa kuelewa kusudi kuu la andiko languMkuu
Wewe unayemtaka hiyo 30m yake asiiwekeze, kwa vile eti amechelewa, ndio humtakii mema.
Mleta mada kaomba ashauriwe mahali salama pa kuweka hiyo pesa ili iliwe polepole. Wewe unamtabiria kifo katika miaka mitano! Si sawa.
Wala usihofu kwani maisha ni mafupi na kama unapumua mshukuru sana Mola na pia tuangalie afya zetuNimekuelewa sana mkuu. Ngoja nimshirikishe mzee nione kama kuna kitu atasema. Japo mimi nimeliona ni wazo zuri ukizingatia kuwa mshua mambo ya kilimo anayawezea sana na amekuwa akifanya muda mrefu. Kwa wazo hili naona mzee akipata eneo akatulia mwenyewe akawa analima huku anafuga anaweza kufanya jambo zuri na kubwa sana. Mkuu nashukuru sana Kwa kuniondoa wasiwasi nadhani nitakupa mrejesho.
Mkuu samahani sana kama nitakosea kukuuliza swali. Naamini wewe una wazazi. Vipi wazee wako wakikuomba ushauri? Utawashauri au utakataa kuwashauri kwa kuwa wewe hauna mamlaka ya kuwapangia? Ni nini mchango wako Kwa wazee wako? Je ni kuwapa pesa tu?Pesa za mzee alizopigania kwa jasho na damu kwa miaka 20+ wewe huna mamlaka ya kumpangia mtu. Tafuta zako ndugu uziweke Utitiii
Yaani unamwambia mtu anastaafu aweke hela yake UTT serious. Mnajua UTT au mnaona mnaandika tu.?
Haipo kama walivyoandika humu. Mkuu. Zipo namba unaweza piga moja kwa moja ukapata maelezo. Mimi ni muwekezaji huko ila sio kama alivyoshauriwa na huyo bwana. Huyo bwana hajui kituHabari mkuu naona umeiongelea utt kama unashaka nao naomba na mimi unisanue mapema
Nilikuwa nao bahati mbaya wametangulia mbele za haki. Hawakuwa na ajira rasmi.Mkuu samahani sana kama nitakosea kukuuliza swali. Naamini wewe una wazazi. Vipi wazee wako wakikuomba ushauri? Utawashauri au utakataa kuwashauri kwa kuwa wewe hauna mamlaka ya kuwapangia? Ni nini mchango wako Kwa wazee wako? Je ni kuwapa pesa tu?
Nakubaliana pia na mawazo yako, kwamba asianze kitu kipya kwa sasa..Muhimu usimamizi mzuri tu wa hizo fedha.Kiongozi nashukuru sana Kwa mawazo tukuka. Moja, mimi ni mfanyabiashara mdogo ninayejitafuta na bado sijajipata vizuri kwa namna ya ndoto yangu ninayotaka. Hivyo bado napigania ndoto yangu katika ulimwengu huu wa biashara.
Pili, mzee wangu mbali ya kuwa ni mtumishi anayejiandaa kustaafu, katika maisha yake amekuwa ni mtu aliyejihusisha sana na kilimo hasa kilimo cha mahindi na maharage Kwa asimilia kubwa. Katika hili ana uzoefu wa kutosha.
Sasa Kwa kuwa Mimi pia najihusisha na biashara hii ya mazao na Nina uzoefu kidogo nilitaka mzee atumie kiasi kidogo tu Cha mafao yake tuseme labda million 5 kuwekeza kwenye biashara hii. Ni suala la kumfundisha jinsi ya kutoka kufanya kilimo cha chakula kwenda kilimo cha biashara kitu ambacho atakiweza sana. Mfano mdogo ni kumwambia achukue mil. 1 anunue mazao kisha nimuoneshe soko lilipo akauze Kwa bei nzuri apate faida yake
Sasa mimi Kwa kutambua changamoto zilizoko katika biashara na kwa kuangalia umri wa mzee nilifikiria achukue kiasi pia cha fedha hata kama ni milioni 30 au 40 ahifadhi benki awe kama anaendelea kupokea mshahara kila mwezi kwa muda wote wa uzee wake huku sasa akifanya pia hii biashara yake ya mazao ambayo ana uzoefu nao kupitia kilimo.
Hofu yangu ni asichukue hela zote na kuweka kwenye kapu moja bali afanye mgawanyo katika mafungu kadhaa. Kwa sasa nimekuwa na mawazo mawili. Moja awe na akiba benki, na pili abadilishe kilimo chake cha chakula kuwa kilimo cha biashara ambapo Nina uhakika ataweza. Ndio maana nikajitokeza kwenu wakuu kuomba huu ushauri. Asante sana
Nipo mkuu
Mambo mengi muda mchache
Atafute mil 10 atie mkeka wa odds 2. Uhakika wa mil 20 upo hapo. Ina maana anapata faida ya mil 10. Sasa hiy mil 10 aizungushe kwa mikeka ya mil 2, 2 sure odds 2 au 1.5 kila mwezi anabet mara moja tuu....
Au mnasemaje ndugu zangu..
Ajenge lodge au guest house ale pesa zake ..Salamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini ameniomba nimsaidie namna ya kuwekeza fedha zake kwa ajili ya kufurahia uzee wake.
Sasa mimi cha kwanza kabla ya mengine ninachotamani ni kwamba mzee awekeze fedha zake benki ili ikiwezekana kila mwisho wa mwezi awe kama anapokea mshahara wa kati ya 500,000-700,000 za kitanzania huku ile hela yake aliyohifadhi ikibaki kuwa dhamana yake katika uwekezaji na akiitaka aichukue muda wowote ule.
Nimefatalia kwa umakini sana humu JF uwekezaji wa namna hii mfano, hisa, UTT, fixed account n.k. lakini bado sijapata kile ninachokifikiria kuwa afungue tu akaunti awekeze hela huko kisha kila mwezi awe anavuna kiasi tajwa hapo juu. Sasa maswali yangu ni haya hapa chini.
i. Je Kuna uwezekano wa kupata akaunti ya kuwekeza labda tuseme milioni 20 au 30 za kitanzania na mtu akapata mavuno ya laki 5 Kila mwezi?
ii. Kama ni ndio je ni kiasi gani kinaweza kuleta mavuno ya laki 5 kama jibu ni sio je ni akaunti gani naweza kuwekeza angalau kupata kiasi kizuri kwa mzee kwa kila mwezi?
iii. Je ni benki gani nzuri itafaa Kwa uwekezaji huo kwa ajili ya mzee?
N.B: Kumbuka sitamani uwekezaji mwingine zaidi ya huo hapo juu. naomba ushauri ujikite katika muongozo huo. Natanguliza shukrani zangu.
Soma Ushauri kwa wastaafu na wanaopata hela nyingi kwa mkupuo
Kumjua mchawi sio kazi ngumuUTT hii mbeleni naona kuna watu watatoa machozi
Sababu hisa zinaweza shuka...vilevile ongezeko na migogoro duniani na hizi pandemic desease
Kunaweza kuleta mtikisiko wa uchumi kidunia
Hapo mwenyewe umeona kama umeshauri vipi magufuli aliefariki nae alikuwa mstaafu?Ndo maana wastaafu wengi hufa mapema
Biashara au uwekezaji unategemea mazingira, uzoefu, passion ya mtu, uwezo binafsi, interests na kadhalika na kadhalika,Salamu ziwafikie wana Jf wenzangu.
Ninaomba msaada katika uwekezaji wa fedha benki.
Ni hivi mimi nina mzee wangu anayetarajia kustaafu mwaka huu. Sasa kama kijana wake wa pekee na anayeniamini ameniomba nimsaidie namna ya kuwekeza fedha zake kwa ajili ya kufurahia uzee wake.
Sasa mimi cha kwanza kabla ya mengine ninachotamani ni kwamba mzee awekeze fedha zake benki ili ikiwezekana kila mwisho wa mwezi awe kama anapokea mshahara wa kati ya 500,000-700,000 za kitanzania huku ile hela yake aliyohifadhi ikibaki kuwa dhamana yake katika uwekezaji na akiitaka aichukue muda wowote ule.
Nimefatalia kwa umakini sana humu JF uwekezaji wa namna hii mfano, hisa, UTT, fixed account n.k. lakini bado sijapata kile ninachokifikiria kuwa afungue tu akaunti awekeze hela huko kisha kila mwezi awe anavuna kiasi tajwa hapo juu. Sasa maswali yangu ni haya hapa chini.
i. Je Kuna uwezekano wa kupata akaunti ya kuwekeza labda tuseme milioni 20 au 30 za kitanzania na mtu akapata mavuno ya laki 5 Kila mwezi?
ii. Kama ni ndio je ni kiasi gani kinaweza kuleta mavuno ya laki 5 kama jibu ni sio je ni akaunti gani naweza kuwekeza angalau kupata kiasi kizuri kwa mzee kwa kila mwezi?
iii. Je ni benki gani nzuri itafaa Kwa uwekezaji huo kwa ajili ya mzee?
N.B: Kumbuka sitamani uwekezaji mwingine zaidi ya huo hapo juu. naomba ushauri ujikite katika muongozo huo. Natanguliza shukrani zangu.
Soma Ushauri kwa wastaafu na wanaopata hela nyingi kwa mkupuo
Wala sio ajabu labda wewe haujawahi kufanya biashara yeyote ndio maana unashangaa hiloBiashara au uwekezaji unategemea mazingira, uzoefu, passion ya mtu, uwezo binafsi, interests na kadhalika na kadhalika,
Kutaka ushauriwe kitu cha kufanya ni mambo ya ajabu!