Mzee wangu kaacha dawa za presha presha yake Iko 200/93 pr 46

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
 
pole, kipindi flan nilikua nna presha yakushuka nikaanzishiwa dawa mama yangu alijitahidi sana nikawa napima presha kila baada yasiku mbili ilivyorudi mama akanambia acha hizo dawa n mwaka wa tatu huu sjaona tena zile compilcations, inawezekana dawa zilishafanya kua chronic sasa zinampelekesha msihi ndio kitu pekee kitakachomfanya ajisikie nafuu na presha ikae sawa, kwan dokta kakushauri nini? lakini ukweli mchungu ukute ameshakubali lolote lile na liwe.
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Hapana asiache kabisa,aendelee kutumia,dawa za presha zina mateso yake lakini asiache kabisa.Wapo walioacha na pressure ikashuka lakini kwa kesi hiyo aendelee tu kutumia na amuone daktari wake ampe ushauri mzuri...
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau

Poleni,
Kitu kimoja cha kutambua:

1: Ni vyema mhusika afikishwe hospitali aanzishiwe tiba na kuangalia maendeleo yake kwa ujumla.

2: Kutambua kwa nini ameamua kusitisha dawa ili aweze kusaidiwa kurejea kwenye tiba akiwa na uelewa mzuri.

3: Kwa presha ya kiasi hicho, hili ni tatizo la kudumu maisha yake yote. Ni vyema kutambua kuwa hamezi dawa kwa sababu alianza dawa za presha au dawa za presha zinaongeza tatizo. Bali, tatizo hili kwa kiasi hiki kwake litakuwa la kudumu maisha yake yote.

4: Madhara ya presha kiasi hiki kuendelea kuwa juu inaweza kusababisha:
A: Kupata kiharusi/stroke
B: Kuumiza viungo vya mwili kama: figo/kufaili, moyo/shambulio la moyo, ini/kufaili, macho/uoni hafifu.

5: Presha kusoma sawa wakati unatumia dawa, maana yake ni matokeo ya dawa husika kufanya kazi vyema. Ukiacha kutumia dawa presha itapanda tena.

6: Tiba ya presha iambatane na mabadiliko ya kupunguza visababishi kama: kupunguza matumizi ya chumvi, kupunguza matumizi ya pombe, kuacha kuvuta sigara, kupunguza matumizi ya wanga, kufanya mazoezi mepesi.
 
Duh
Haraka haraka mpe vitunguu swaumu vichache atafune hata kumeza na maji

Lingine mpe dawa na pia aende hospital

Stroke itanyemelea kizaidi..
Akipata stroke ni atawafilisi au atakufa nebdeni hospital haraka sana, stroke inakuwa kama mmepata mtoto mchanga anafanyiwa kila kitu yani uache kazi ili umhudumie maisha yake yote yaliyobaki
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Hiyo presha ipo juu sana angalau ila ya chini Haina shida kwahiyo arudie dawa na pia mpeni vitu kama ngogwe na bamia huwa zina mchango mkubwa sana kwenye kushusha pressure pia maboga
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Sasa Unataka Ushauri Gani?
Kwanza Kabisa Ulipaswa kuona Red flag hizo na kuzifanyia kazi ikiwemo Kuwa Mkali kwa Mzee wako Maana Anakoelekea Ni kupata Cerebral Vascular Accident (CVA) Au kama wengine wanavyoita Stroke..

So jitahidi Umshauri arudi Kutumia Dawa
Ni hatari sana..

Na Kumbuka Hypertension Is The SILENT KILLER
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Mimi natumia dawa za High Blood Pressure ni mwaka wa 26 sasa, mwambie muda si mrefu figo zake zita compromise, na itabidi aanza kufanyiwa dialysis , hatari nyingine ni kupata stroke ambayo inaweza mletea ulemavu wa kudumu ama kifo.
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Muache ..ameshaona mengi ameamua kuwapunguzieni mizigo ....anataka kurudi kwa muumba wake ameshaamua huyo...augue pole mzazi.
 
Shida ni kwamba anaweza akapigwa na 'stroke' halafu akaanza kuwapa shughuli ya kumhudumia upyaaaaa....ingekuwa uhakika kwamba "ataamsha" chap kwa haraka hapo ungesema poa tu wamkaushie!.
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Stroke hiyooo...ndio gharama mara 10 ya dawa za kila siku .....muwahi hospital msimdekezee
 
Mgonjwa kachoka kutwseka msimkaripie tumieni busara kumuelewesha
 
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Muwahishe hospital huyo atakufa. Balaa hili!! Wapi.
 
Back
Top Bottom