malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Hapana asiache kabisa,aendelee kutumia,dawa za presha zina mateso yake lakini asiache kabisa.Wapo walioacha na pressure ikashuka lakini kwa kesi hiyo aendelee tu kutumia na amuone daktari wake ampe ushauri mzuri...Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Akipata stroke ni atawafilisi au atakufa nebdeni hospital haraka sana, stroke inakuwa kama mmepata mtoto mchanga anafanyiwa kila kitu yani uache kazi ili umhudumie maisha yake yote yaliyobakiDuh
Haraka haraka mpe vitunguu swaumu vichache atafune hata kumeza na maji
Lingine mpe dawa na pia aende hospital
Stroke itanyemelea kizaidi..
Hiyo presha ipo juu sana angalau ila ya chini Haina shida kwahiyo arudie dawa na pia mpeni vitu kama ngogwe na bamia huwa zina mchango mkubwa sana kwenye kushusha pressure pia mabogaHabar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Sasa Unataka Ushauri Gani?Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Mimi natumia dawa za High Blood Pressure ni mwaka wa 26 sasa, mwambie muda si mrefu figo zake zita compromise, na itabidi aanza kufanyiwa dialysis , hatari nyingine ni kupata stroke ambayo inaweza mletea ulemavu wa kudumu ama kifo.Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Muache ..ameshaona mengi ameamua kuwapunguzieni mizigo ....anataka kurudi kwa muumba wake ameshaamua huyo...augue pole mzazi.Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Hili ndio Jibu ....Amekubali kuwaacha
Shida ni kwamba anaweza akapigwa na 'stroke' halafu akaanza kuwapa shughuli ya kumhudumia upyaaaaa....ingekuwa uhakika kwamba "ataamsha" chap kwa haraka hapo ungesema poa tu wamkaushie!.Muache ..ameshaona mengi ameamua kuwapunguzieni mizigo ....anataka kurudi kwa muumba wake ameshaamua huyo...augue pole mzazi.
Stroke hiyooo...ndio gharama mara 10 ya dawa za kila siku .....muwahi hospital msimdekezeeHabar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Muwahishe hospital huyo atakufa. Balaa hili!! Wapi.Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau