Hapana mkuu stroke inapoka ukitumia tiba mbadalaAkipata stroke ni atawafilisi au atakufa nebdeni hospital haraka sana, stroke inakuwa kama mmepata mtoto mchanga anafanyiwa kila kitu yani uache kazi ili umhudumie maisha yake yote yaliyobaki
Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Hili nalo neno...Shida ni kwamba anaweza akapigwa na 'stroke' halafu akaanza kuwapa shughuli ya kumhudumia upyaaaaa....ingekuwa uhakika kwamba "ataamsha" chap kwa haraka hapo ungesema poa tu wamkaushie!.
Za kisukari pia anazo mkuu?Presha is overrated kuna mtu Msanga Zalala ana dawa ya asili ya presha watu wanatumia na wanapona kabisa. Hizo dawa za kizungu zinaharibu figo
Hali hiyo nguvu za kuja jf unazitoa wapi? Ungekuwa hospital sasa hii.Habar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
Anatibu kongosho kabisa linarudi kufanya kazi upyaZa kisukari pia anazo mkuu?
Hata kama emeona mengi kutupunguzia mzigo sio kuacha dawa maana hapo nikuongeza tatizo Figo zitafeli alafu ndo mwanzo wakurudi kwenye dimbwi la umaskini maana matibabu ya Figo nighali mno nahutuwezi kuyamuduMuache ..ameshaona mengi ameamua kuwapunguzieni mizigo ....anataka kurudi kwa muumba wake ameshaamua huyo...augue pole mzazi.
Mchekeche fasta akuandikie wosiaa mwamba..sio kwa Nia mbaya...kujilinda wewe unaemtunxa lazima akuweke poaHabar wakuu ushauri wenu tafadhali Mzee wangu amekalua akitumia dawa za presha kwa miaka9 Sasa .hivi karibuni kaacha kutumia dawa,inaweza kuwa ni mda miezi kadhaa tangu aache,Sasa hivi presha yake inasoma hivo mda wote 200-199/90-97 pr 50-45..nin chakufanya nikama Hana mpango wakurudia kuzitumia, nb naalisha fanyiwa uporesheni ya kuzibua mshipa wa moyo ulioziba imepita kama miaka miwili afanyiwe hiyo operation
Ushauri wenu wadau
WapihuyompwaaAnatibu kongosho kabisa linarudi kufanya kazi upya
KabisaHapana mkuu stroke inapoka ukitumia tiba mbadala
Manga, ZalalaWapihuyompwaa
Hali hiyo nguvu za kuja jf unazitoa wapi? Ungekuwa hospital sasa hii.
[Kaacha dawaPole sana.
Kwa hiyo presha yuko kwenye hatari ya kupata madhara mbalimbali kama vile kiharusi (stroke), figo na moyo kufeli, nk.
Ni muhimu akashauriana na daktari wake kabla ya kufikia uamuzi wa kuacha kutumia dawa.
Kila la kheri.Mkuu anatumia dawa takribani miaka9 Sasa..Sasa hivi karibuni Kuna mtu kamadanganya dawa zakienyeji kwaiyo akaacha dawa za hospital kama mwezi hvi hajatumia ndo kujua Jana kumpima presha Iko hivo ..adai kachoka kula dawa hvi kunishauri kaaanza kutumia Tena anatumia vidonge 7 Kila siku ...anadai mbona anatumia dawa alafu presha haishukiHapana asiache kabisa,aendelee kutumia,dawa za presha zina mateso yake lakini asiache kabisa.Wapo walioacha na pressure ikashuka lakini kwa kesi hiyo aendelee tu kutumia na amuone daktari wake ampe ushauri mzuri...
Manga ipo mkoa gani? Unayo namba yake ya simu?Manga, Zalala
1 yupo kwenye dawa za presha takribani miaka9 Sasa na mwaka juzi tu nkafanyiwa operation ya kuzibua mrija ktk moyo ulioziba..dawa ana mwezi kaacha Jana ndo kaanza Tena kunywa hizo dawa za preshaPoleni,
Kitu kimoja cha kutambua:
1: Ni vyema mhusika afikishwe hospitali aanzishiwe tiba na kuangalia maendeleo yake kwa ujumla.
2: Kutambua kwa nini ameamua kusitisha dawa ili aweze kusaidiwa kurejea kwenye tiba akiwa na uelewa mzuri.
3: Kwa presha ya kiasi hicho, hili ni tatizo la kudumu maisha yake yote. Ni vyema kutambua kuwa hamezi dawa kwa sababu alianza dawa za presha au dawa za presha zinaongeza tatizo. Bali, tatizo hili kwa kiasi hiki kwake litakuwa la kudumu maisha yake yote.
4: Madhara ya presha kiasi hiki kuendelea kuwa juu inaweza kusababisha:
A: Kupata kiharusi/stroke
B: Kuumiza viungo vya mwili kama: figo/kufaili, moyo/shambulio la moyo, ini/kufaili, macho/uoni hafifu.
5: Presha kusoma sawa wakati unatumia dawa, maana yake ni matokeo ya dawa husika kufanya kazi vyema. Ukiacha kutumia dawa presha itapanda tena.
6: Tiba ya presha iambatane na mabadiliko ya kupunguza visababishi kama: kupunguza matumizi ya chumvi, kupunguza matumizi ya pombe, kuacha kuvuta sigara, kupunguza matumizi ya wanga, kufanya mazoezi mepesi.
Mkuu Mzee yupo ktk dawa kwa miaka9 Sasa na dawa kaacha kama mwezi mmoja mpaka kufika Jana ndo kaanza kuzinywa Tena anatumia vidonge 7 Sasa anaona vingi ndo sababu iliyosababisha aache na pia Kuna ndgu alimdanganya dawa yakienyejiPole sana.
Kwa hiyo presha yuko kwenye hatari ya kupata madhara mbalimbali kama vile kiharusi (stroke), figo na moyo kufeli, nk.
Ni muhimu akashauriana na daktari wake kabla ya kufikia uamuzi wa kuacha kutumia dawa.
Kila la kheri.
Manga, Zalala
[/QUOTEndo anapatikana mtaalamu uko au