Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Usimlaumu Warioba, suala la msingi ni wewe utafanya nini kukomesha hili?Muungano wenywe ni fake tangu mwanzo leo ndio Mzee Warioba unaona?
mimi nataka kuvunja muungano fakeUsimlaumu Warioba, suala la msingi ni wewe utafanya nini kukomesha hili?
Inahuzunisha Sanaa,View attachment 3124713
Ona pia
Pre GE2025 - Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Muungano uvunjwe harakawww.jamiiforums.com Pre GE2025 - Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...www.jamiiforums.com
Tusijidanganye hakuna muungano tena, tumlazimishe samia arudi kwao, kuendelea kutawaliwa na Mzanzibari ni fedheha kwa watanganyikaView attachment 3124713
Ona pia
Pre GE2025 - Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Muungano uvunjwe harakawww.jamiiforums.com Pre GE2025 - Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...www.jamiiforums.com
Hilo sio suala muhimu. Jambo la msingi ni kwamba hizi statements za Warioba ni facts? Kwani hiyo picha hapo juu ya mkutano wa kimataifa na wawakilishi wa Zanzibar na Tanzania ni ya lini Mkuu?Video hii ni ya lini mkuu?
2025 tuwe makini, tupate Rais Mtanganyika, hata kama ni zezeta.View attachment 3124713
Ona pia
Pre GE2025 - Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Muungano uvunjwe harakawww.jamiiforums.com Pre GE2025 - Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...www.jamiiforums.com
Hii picha inachekesha sana🤣Mimi nitaendelea na msimamo wangu, kwamba mazingira ya muungano yaliyopo sasa ni muungano jina. Zanzibar wameshajitoa kwenye huu muungano kinyemela, na Tanzania bara inaendelea kuwahudumia na kuwafanya kama taifa kupe kwenye huu muungano. Ndio maana nasema wazi, katika mazingira kama haya yaliyopo, raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hapaswi kabisa kutoka Zanzibar, wala kuwa na watumishi wengi kama ilivyo sasa katika serikali ya muungano kama mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi wizarani, wakurugenzi Tamisemi nk. Kwa vitu walivyofanya Zanzibar katika kuuhujumu muungano ni lazima raisi wa Tanzania atoke Tanzania bara. Mbadala wa hili ni kuwa na serikali tatu, lazima kuwe na serikali ya Tanganyika. Hili halipaswi kuwa na mjadala tena.
Hatuna tatizo na raisi Samia, amaefanya mengi mazuri kwa nia nzuri, japo kuna makosa mengi pia. Lakini katika mazingira ya muungano yaliyopo haifai tena yeye kuendelea kuwa raisi wa Tanzania. Kwa kuwa katiba inamruhusu kugombea, jambo la busara ni yeye kujitoa kugombea uraisi wa 2025 ili kutoa nafasi kwa mtu wa Tanzania bara kuwa raisi wa Tanzania. La sivyo itabaki kuwa jukumu la kila Mtanzania bara kuhakikisha uchaguzi wa 2025 unatoa raisi kutoka Tanzania bara, bila kujali yuko chama gani cha siasa.
View attachment 3124746
Kuendelea kukubali hali kama hii kwenye mikutano ya kimataifa ni matusi kwa Watanganyika
Bahati mbaya sana wameziba masikio na kuvaa miwani ya mbao.. Hawasikii wala hawaoniView attachment 3124713
Ona pia
Pre GE2025 - Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Muungano uvunjwe harakawww.jamiiforums.com Pre GE2025 - Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano
Tatizo ni kwamba siku zote vyama vya upinzani vimeingia katika uchaguzi mkuu bila kuwa na agenda kuu ambayo inawapa changamoto kubwa CCM. Utakuta upinzani wanakuja na slogan kama ubwawa kwa kila mtu, nitawajaza mapesa nk, sera au ilani nyepesi zisizowafanya wananchi wafikirie kuwapa kura badala...www.jamiiforums.com
Nadhani tatizo liko kwa wanachama wa CCM wa Tanzania bara. Siku wakitambua Tanganyika ni kubwa kuliko CCM labda mambo ndio yatabadilikaBahati mbaya sana wameziba masikio na kuvaa miwani ya mbao.. Hawasikii wala hawaoni
Inatia aibu sana Mkuu (embarrassing), haichekeshi!Hii picha inachekesha sana🤣