Tusimlaumu Nyerere. Alikuwa na nia nzuri tu, na leo hii angekuwaapo kuna ujinga mwingi sana unaofanywa na Zanzibar asingeukubali na huenda angekuwa wa kwanza kusema muungano uvunjike. Kumbuka, Nyerere akiwa raisi wa Tanzania, alimtoa Abood Jumbe kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ya ujinga kama huu. Sasa Samia ana ubavu wa kumtoa Mwinyi akiendekeza ujinga kule Zanzibar?
Kumbuka, ni Nyerere huyohuyo alieseme CCM wakileta mbofumbofu atajitoa, kwa sababu CCM sio mama yake kwamba hawezi kujitenga nae. Sasa unatajajia uvunjifu mkubwa huu wa katiba ya muungano Nyerere angeuvumilia?