Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

Sio kila kitu kinachowekwa kwenye Katiba ni halali au kinafaa, ndio maana katiba hubadilishwa kila wakati.
Tubadili katiba kwanza kama ni hivo. Kwa sababu Samia bado yupo sana unless chama chake kimzingue lakini akishaingia kwenye ballot, hisyoria ya uchaguzi itaendelea kujirudia tu kwa hali iliyopo currently labda mambo yabadilike kuqnzia mwakani
 
Katika thread, hasa hii hapa
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
nimeeleza wazi kwamba sio kosa kikatiba kwa raisi Samia kugombea uraisi 2025. Ana haki ya kikatiba kufanya hivyo, lakini itakuwa jambo la busara, kutokana na mazingira yaliyopo, kwa raisi Samia kujitoa kwenye mbio za uraisi 2025, na kisha tutafanya mabadiliko ya Katiba ili kuanzia sasa suala la raisi wa Tanzania libaki kuwa la mtu toka Tanzania bara, isipokuwa kama tutakubali muungano wa serikali tatu.
 
Yaani Tanganyika yenye watu zaidi ya milioni 60 inatawaliwa na Wazanzibar yenye watu chini ya milioni 3!

NANI AMETULOGA SISI WATANGANYIKA?

God Bless Tanganyika
Nadhani CCM ndio wachawi wetu. Jambo la msingi ni watu kuelewa kwamba ni Watanzania bara wanaoamua nani awe raisi wa Tanzania, katika hiyo ratio ya 60:3 milioni. Sasa kuna baadhi ya wenzetu huku bara uchawi wa CCM umewaingia sana. Sijui tuwatoeje hilo limbwata walilolishwa na CCM, maana hawajielewi hawajitambui!
 
Serikali inayoitwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiuhalisia ni serikali ya Tanganyika lakini cha ajabu tunatawaliwa na Mzanzibari!
Ni kosa la kikatiba, ambapo hatukutarajia raisi kutoka Tanzania bara anaweza kufa akiwa madarakani na makamu wa raisi toka Zanzibar akawa raisi wa Tanzania, katika mazingira ambayo raisi wa Tanzania ni raisi wa Tanzania bara (Tanganyika)
 
Katika thread, hasa hii hapa
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
nimeeleza wazi kwamba sio kosa kikatiba kwa raisi Samia kugombea uraisi 2025. Ana haki ya kikatiba kufanya hivyo, lakini itakuwa jambo la busara, kutokana na mazingira yaliyopo, kwa raisi Samia kujitoa kwenye mbio za uraisi 2025, na kisha tutafaanya mabadiliko ya Katiba ili kuanzia sasa suala la raisi wa Tanzania libaki kuwa la mtu toka Tanzania bara, isipokuwa kama tutakubali muungano wa serikali tatu.
maoni yako yapo sawa tu, ila busara kwenye siasa bongo hapa? Issue ya jecha vp? ilitumika busara gani, hapo 2020? Mambonya kudhania busara ndo yale ya sisi wananchi kukaa kusubiri ccm itoe tume huru. Hawatoitoa kusubiri wao wafanye bisara hiyo ni uongo
 
Kutotumia busara na hekima hapa maana yake itumike nguvu, aidha ya wananchi mitaani kama ilivyokuwa Misri, Tunisia nk, au mapinduzi ya kijeshi, kama Burkina Faso au Niger. Sasa ndicho tunachotaka kweli?
 
Lugha sahihi tutumie "ndo kinachojitajika". Unless tuendelee kusubiri miujiza. Swali dogo mkuu hili zoezi la uandikishaji unalifatilia habari zake? Unaona kuna chance ya wao kuyumia busara
 
Lugha sahihi tutumie "ndo kinachojitajika". Unless tuendelee kusubiri miujiza. Swali dogo mkuu hili zoezi la uandikishaji unalifatilia habari zake? Unaona kuna chance ya wao kuyumia busara
Uwezekano ni mdogo sana. Tayari kuna matukio ya udanganyifu mengi yameripotiwa, yakifanywa na watu wa chama tawala
 
Ni kosa la kikatiba, ambapo hatukutarajia raisi kutoka Tanzania bara anaweza kufa akiwa madarakani na makamu wa raisi toka Zanzibar akawa raisi wa Tanzania, katika mazingira ambayo raisi wa Tanzania ni raisi wa Tanzania bara (Tanganyika)
Ni ukosefu wa akili tu,Rais ni kama binadamu wengine tu anaweza kufa au kuumwa kiasi cha kupoteza uwezo wake wa kuongoza
sasa kwanini hao watunga sheria na katiba wasilitarajie hilo!
 
Badala ya kukaa kila siku kuwasema wazanzibari ambao kwa hiari yao wameamua kubaki na mamlaka yao, watanganyika tafuteni mamlaka yenu. Kulalamikia kila siku watu waliamua kutumia haki yao kupata wanachotaka ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom