Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

Tabu ni Mzee Nyerere mwenyewe.
Tusimlaumu Nyerere. Alikuwa na nia nzuri tu, na leo hii angekuwaapo kuna ujinga mwingi sana unaofanywa na Zanzibar asingeukubali na huenda angekuwa wa kwanza kusema muungano uvunjike. Kumbuka, Nyerere akiwa raisi wa Tanzania, alimtoa Abood Jumbe kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ya ujinga kama huu. Sasa Samia ana ubavu wa kumtoa Mwinyi akiendekeza ujinga kule Zanzibar?

Kumbuka, ni Nyerere huyohuyo alieseme CCM wakileta mbofumbofu atajitoa, kwa sababu CCM sio mama yake kwamba hawezi kujitenga nae. Sasa unatajajia uvunjifu mkubwa huu wa katiba ya muungano Nyerere angeuvumilia?
 
Badala ya kukaa kila siku kuwasema wazanzibari ambao kwa hiari yao wameamua kubaki na mamlaka yao, watanganyika tafuteni mamlaka yenu. Kulalamikia kila siku watu waliamua kutumia haki yao kupata wanachotaka ni kupoteza muda.
Ndicho kinasosemwa na thread hii, ni katika harakati hizo. Labda nikuulize, wewe sio Mtanganyika? Na kama ni Mtanganyika, mchango wako katika kuleta mamlaka ya Tanganyika ni nini au utakuwa nini?
 
Mimi sina shida na hayo wanayolalamikia wengine. Ninachowashangaa ni kwanini wanapoteza muda kupiga kelele kwa mambo ambayo watu wametumia uhuru wao kuamua. Kwani ni lini ulisikia wanzanzinari hawataki watanganyika wawe na mamlaka yao?
 
Hapa Tatizo sio Wazanzibar, hili ni tatizo la Watanganyika. Watanganyika wakiamua hatutaki raisi toka Zanzibar awe raisi wa Tanzania, Zanzibar hawawezi kuzuia hilo. Watanganyika wakiamua hatutaki tena muungano Zanzibar hawawezi kuzuia hilo.

Kwa hiyo tunasema haya kwa sababu Zanzibar wameshaonyesha kwa matendo na maneno hawataki muungano. Tunaowakomalia hapa ni watu kutoka Tanzania bara.
 
Tusimlaumu Nyerere. Alikuwa na nia nzuri tu, na leo hii angekuwaapo kuna ujinga mwingi sana unaofanywa na Zanzibar asingeukubali na huenda angekuwa wa kwanza kusema muungano uvunjike. Kumbuka, Nyerere akiwa raisi wa Tanzania, alimtoa Abood Jumbe kuwa raisi wa Zanzibar kwa sababu ya ujinga kama huu. Sasa Samia ana ubavu wa kumtoa Mwinyi akiendekeza ujinga kule Zanzibar?

Kumbuka, ni Nyerere huyohuyo alieseme CCM wakileta mbofumbofu atajitoa, kwa sababu CCM sio mama yake kwamba hawezi kujitenga nae. Sasa unatajajia uvunjifu mkubwa huu wa katiba ya muungano Nyerere angeuvumilia?
He messed up big time.
 
View attachment 3124748
Hebu ona hapa. Hivi ni watu wenye akili ya kipumbavu kiasi gani wataendelea kukubali vitu kama hivi? Ina maana Watanzania wenye akili ya namna hii wako CCM peke yake?
Tangu niione hii picha na kuona deep state imejikausha...ndipo rasmi nikaamini kuwa Nchi ya Tanganyika inarudi.
ogopa sana Nchi yenye mfumo huu!
 
Back
Top Bottom