Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

Hawa wazee kipindi wao wanakula huwa hawazungumzi.

Ila sasa wakishatema tonge ndio wanaanza kututesa na maneno yao.
 
Muda wake ulikuwa haujafika
Kama vita ya majimaji
 
Hiwezi kuwasilishs hoja bila matusi?
 
upumbavu ni kipaji kama ilivyo urefu na ufupi. itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana!
 
Ila wewe unamambo mengi kichwani.

Katiba ya Sasa imeundwa na akina nani?

Na unajua 1992 katiba ilifanyiwa mabadiliko makubwa kiasi kwamba ikakidhi natakiwa ya mda huo? Sasa basi.. mheshimu huyoo Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…