Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

Hawa wazee kipindi wao wanakula huwa hawazungumzi.

Ila sasa wakishatema tonge ndio wanaanza kututesa na maneno yao.
 
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.

Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.

Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Muda wake ulikuwa haujafika
Kama vita ya majimaji
 
Warioba hakuamka kwake na kuanzisha mchakato wa katiba huu mchakato umeanzishwa na watanzania yeye alitumwa kulishughulikia hilo swala,mjinga wewe

Chadema waliwahi kuingia mtaani na kuwamezesha watz maoni ya katiba ndo hicho unachokiona alichokiwasilisha Warioba
Hiwezi kuwasilishs hoja bila matusi?
 
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.

Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.

Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
upumbavu ni kipaji kama ilivyo urefu na ufupi. itoshe kusema kuwa wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu sana!
 
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?.

Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au ndio akili zinakuja uzeeni.

Huyu Mzee alishakuwa mwanasheria mkuu, Waziri Mkuu.....vyeo vinajaa treni
Ila wewe unamambo mengi kichwani.

Katiba ya Sasa imeundwa na akina nani?

Na unajua 1992 katiba ilifanyiwa mabadiliko makubwa kiasi kwamba ikakidhi natakiwa ya mda huo? Sasa basi.. mheshimu huyoo Mzee.
 
Back
Top Bottom