Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Haya Makonda njoo umpige tena Mitama Mzee wa Watu
View: https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb
Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa uzalendo. Mambo ya kula kwa urefu wa kamba yake hawana
Haya maoni huwezi kuyapata kwa kina balile na pascal mayalla
View: https://youtu.be/UrmiHUuMW8k?si=8Zq7aoVlL4uoABVb
Ameeleza kuengua wagombea wa chama fulani tu ni dhahiri ajenda ya siri. Amesema Jeshi la Wananchi peke yake kwa sasa ndio linafanya kazi kwa uzalendo. Mambo ya kula kwa urefu wa kamba yake hawana
Akina Balile na akina Mayala, bado wanavizia upendeleo badala ya kuinena iliyo kweli.Haya maoni huwezi kuyapata kwa kina balile na pascal mayalla
Wassira anatokea Mara kweli?
Anadai JWTz ndiyo wazalendo. Yule Kanali Ngemela alikuwa jeshi la Mgambo?Kippi hagombei tena Moshi mjini?
CCM hawana aibu, hawakawii kumuunganisha kwenye Uhaini, kumfutia ulinzi na marupurupu yote kama walivyowafanyaga kina Sumaye na EL., walivo waoga hao wqzee wakarudi CCM mbio...kupiga magoti.Mungu Mbariki Warioba
EmenMungu Mbariki Warioba